Wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam walifanya hitma siku ya tarehe 16 september ambayo ilihudhuriwa na Mama Salma Kikwete na wake wa Makamo wa Rais na wengineo, wakafanya hafla nyengine tarehe 9 october uwanja wa mnazi mmoja na ndio wakaweza kuchangisha vitu,nimepokea nguo na pesa shillingi million nne laki mbili na kumi, 4.210,000/ na cheque ya shilling million moja , pamoja na dollar mia. Na nguo nyingi .

Alievaa gauni la blue anaitwa bibi,Biubwa Kassim na alievaa nyekundu anaitwa Bibi Mwanaidi Mussa. Na mpokeaje Aysha Mbarak- Meghji..
hizi navyo nivitu vilivyochangishwa na spurs coral ridge, sea cliff village kwa ajili ya waliopata maafa ya meli ya mv spice islander huko Zanzibar , operation manager wa restaurant hiyo Lokesh N Marakala alivikabishisha kwangu , mwakilishi wa Saidia Zanzibar jana jioni 28th October hapo spurs , sea cliff village.  misaada yote inapokelewa na mwakilishi wa saidia Zanzibar Aysha Mbarak-Meghji more details www.saidiazanzibar.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. well done, keep it up.

    ReplyDelete
  2. mnafanya kazi nzuri. mungu awazidishie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...