Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wakianza hatua za mwanzo za uchimbaji wa kisima na utengenezaji wa mabomba ya hospitali ya Amana ambao ni walengwa wa mfuko wa Shear Charity Ball iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam na kudhaminiwa na makampuni ya Serengeti breweries, Bilicanas Group, TCRA, GS4, NSSF, Azania Bank, National Housing Corporation, 540, Clouds FM, Clouds TV, Precision, Benchmark Production, Peacock Hotel, S.S Concrete, Tinamaria , imaging smart, Hugo Domingo, DTP, Pepsi, Advertisin dar, AIESEC, Coastal Travels, Cocotan, i-view media, Maxcom, THT.
Home
Unlabelled
uchimbaji wa kisima na utengenezaji wa mabomba ya hospitali ya Amana kupitia Shear Charity Ball waanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii ni habari njema kwa hospitali ya Amana.Hivi kisima cha maji kwa kutumia hizo drill rigs kinaweza kugharimu shs/usd ngapi hapo Daresalaam?Mwenye "Idea" anisaidie tafadhali
ReplyDeleteDavid V
Mil 14 za Kitanzania
ReplyDelete