Mafundi wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wakianza hatua za mwanzo za uchimbaji wa kisima na utengenezaji wa mabomba ya hospitali ya Amana ambao ni walengwa wa mfuko wa Shear Charity Ball iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam na kudhaminiwa na makampuni ya Serengeti breweries, Bilicanas Group, TCRA, GS4, NSSF, Azania Bank, National Housing Corporation, 540, Clouds FM, Clouds TV, Precision, Benchmark Production, Peacock Hotel, S.S Concrete, Tinamaria , imaging smart, Hugo Domingo, DTP, Pepsi, Advertisin dar, AIESEC, Coastal Travels, Cocotan, i-view media, Maxcom, THT.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii ni habari njema kwa hospitali ya Amana.Hivi kisima cha maji kwa kutumia hizo drill rigs kinaweza kugharimu shs/usd ngapi hapo Daresalaam?Mwenye "Idea" anisaidie tafadhali

    David V

    ReplyDelete
  2. Mil 14 za Kitanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...