Hapa tuna madereva watano katika barbara ya Moshi-Arusha, pana kona mbele na kila mtu anataka kuwahi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. oya kwa madereva wazoefu clearanve distance ni kubwa na visibility ni kubwa pia hilo lorry linaenda taratibu sioni ubaya wowote hapo ku over take.mdau ulieleta hii picha huna point yoyote au utakua learner mimi nasafiri sana njia hiyo.
    Mdau
    Bongo forever

    ReplyDelete
  2. acha pumba weweee... kusafiri kila siku bara bara iyo ndo utete ujinga we vp??????? kuovertake si kosa na kweli ilo lori linawek kuzibe LAKINI JE... HAO WATU HAPO WANACHOFANYA NI SAHIHI???? DRIVING SCHOOL ULIOENDA YENYE KURUHUSU KI2 KM ICHO NADHANI ITAUWA MPYA KBSAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. ndio tabia ya wachaga kuovertake pale tu anapoona mwenzake wa mbele anaovertake. Utawajua tuu. Kazi ni kwako wewe mdau bongo forever na shule yako finyu ya usalama barabarani.

    ReplyDelete
  4. sheria za barabara madreva wengi hawazifuati unashangaa huyo anayeovertake kwenye kona kitu daladala adi roundabout anaovertake ila hii yote inatokana na madreva wengi kujifunzia kwenye magari ya wajomba wakijua kusogeza wanaona tayari wao wamekamilika. hao wanaitwa waongoza magari sio madreva.

    ReplyDelete
  5. kwa hiyo madaldala yote dar yanaendeshwa na wachaga au? acha stereo type mdau uliesema ni wachaga. kama una point kaa kimya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...