Home
Unlabelled
udereva ulotukuka arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
oya kwa madereva wazoefu clearanve distance ni kubwa na visibility ni kubwa pia hilo lorry linaenda taratibu sioni ubaya wowote hapo ku over take.mdau ulieleta hii picha huna point yoyote au utakua learner mimi nasafiri sana njia hiyo.
ReplyDeleteMdau
Bongo forever
acha pumba weweee... kusafiri kila siku bara bara iyo ndo utete ujinga we vp??????? kuovertake si kosa na kweli ilo lori linawek kuzibe LAKINI JE... HAO WATU HAPO WANACHOFANYA NI SAHIHI???? DRIVING SCHOOL ULIOENDA YENYE KURUHUSU KI2 KM ICHO NADHANI ITAUWA MPYA KBSAAAAAAAAAAAA
ReplyDeletendio tabia ya wachaga kuovertake pale tu anapoona mwenzake wa mbele anaovertake. Utawajua tuu. Kazi ni kwako wewe mdau bongo forever na shule yako finyu ya usalama barabarani.
ReplyDeletesheria za barabara madreva wengi hawazifuati unashangaa huyo anayeovertake kwenye kona kitu daladala adi roundabout anaovertake ila hii yote inatokana na madreva wengi kujifunzia kwenye magari ya wajomba wakijua kusogeza wanaona tayari wao wamekamilika. hao wanaitwa waongoza magari sio madreva.
ReplyDeletekwa hiyo madaldala yote dar yanaendeshwa na wachaga au? acha stereo type mdau uliesema ni wachaga. kama una point kaa kimya.
ReplyDelete