Mlezi wa Chama cha Wanamuziki wa nyimbo za Injili, Martha Mlata (kushoto) ambaye pia Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kutokana na kutambua mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii. Wengine katika picha ni wasanii wa nyimbo za injili.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Cosmas Chidumule akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo maalum kwa Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama.
Wasanii wa nyimbo za injili wakiimba wimbo maalum wa kutimiza miaka 50 ya Uhuru baada ya kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions leo jijini Dar.Picha na Francis Dande.




It's BUSINESS anyway. I wonder what the opinion of Jesus himself will be on this since HE didnt sell his GOSPEL!
ReplyDeleteJamani huyo Msama sio Mkurugenzi bali ni Sole Proprietor.
ReplyDeleteHiyo anayomiliki sio Limited Company bali ni Jina la Biashara tu.
Eti "mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii"
ReplyDeleteHivi nyie ni wasanii au waeneza evanjeli?. Mbona hatuwaelewi?
Hiyo ni biashara bwana, vinginevyo mngewasifia sana hao mnaowaita "wezi" kwa msaada wao katika kueneza evanjeli.