Mlezi wa Chama cha Wanamuziki wa nyimbo za Injili, Martha Mlata (kushoto) ambaye pia Mbunge wa viti maalum mkoa wa Singida akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama kutokana na kutambua mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii. Wengine katika picha ni wasanii wa nyimbo za injili.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Cosmas Chidumule akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo maalum kwa Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama.
Wasanii wa nyimbo za injili wakiimba wimbo maalum wa kutimiza miaka 50 ya Uhuru baada ya kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Msama Promotions leo jijini Dar.Picha na Francis Dande.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. It's BUSINESS anyway. I wonder what the opinion of Jesus himself will be on this since HE didnt sell his GOSPEL!

    ReplyDelete
  2. Jamani huyo Msama sio Mkurugenzi bali ni Sole Proprietor.

    Hiyo anayomiliki sio Limited Company bali ni Jina la Biashara tu.

    ReplyDelete
  3. Kissa Anyigulile: kissaanyigulile@gmail.comOctober 06, 2011

    Eti "mchango wake katika kupambana na wezi wa kazi za wasanii"

    Hivi nyie ni wasanii au waeneza evanjeli?. Mbona hatuwaelewi?

    Hiyo ni biashara bwana, vinginevyo mngewasifia sana hao mnaowaita "wezi" kwa msaada wao katika kueneza evanjeli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...