Home
Unlabelled
WASSIRA AZUNGUMZIA MGOGORO WA UVCCM ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UVCCMM NI VEMA NA MUHIMU KUWA NYUMA YA CCM TAIFA NA SI 'MTU'.
ReplyDeleteKAZI YENU KUBWA NI KUWAUNGANISHA VIJANA WOTE NDANI YA CHAMA NI KUWAVUTIA WALIO NJE WAJE NDANI YA CCM KWA KUWASEMEA NA KUTETEA MASLAHI YAO NA SI YA MTU.
CHANGAMOTO KUBWA MLIYO NAYO NI KUIHUISHA, KUIKUMBUSHA NA KUISUKUMA CCM ILI ITEKELEZE AHADI ZAKE KWA HARAKA, UFANISI NA UPANA WA KUWAFIKIA KUNDI KUBWA LA WANANCHI.
LAZIMA MUWE MSHAWASHO WA CCM KUNG'AMUKA NA KUHIMIZA SERIKALI KUWAJIBIKA HATA KUVUKA KIWANGO CHA ILANI YA UCHAGUZI 2010.
UVCCM NI KUBWA KULIKO POSHO, AHADI YA CHEO WALA MTU MMOJA AU KUNDI DOGO.
MIGOGORO NI CHACHU YA KUKUA NI VEMA IJADILIWE BILA KUOGOPANA 'NDANI YA VIKAO' SAHIHI.
MAINA ANG'IELA OWINO.
CCM UK.
owinoz@yahoo.co.uk