MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM, Mlezi wa mkoa wa Arusha, Stephen Wasira akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo Makao Makuu ya CCM, Lumumba. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Martine Shigella.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. UVCCMM NI VEMA NA MUHIMU KUWA NYUMA YA CCM TAIFA NA SI 'MTU'.

    KAZI YENU KUBWA NI KUWAUNGANISHA VIJANA WOTE NDANI YA CHAMA NI KUWAVUTIA WALIO NJE WAJE NDANI YA CCM KWA KUWASEMEA NA KUTETEA MASLAHI YAO NA SI YA MTU.

    CHANGAMOTO KUBWA MLIYO NAYO NI KUIHUISHA, KUIKUMBUSHA NA KUISUKUMA CCM ILI ITEKELEZE AHADI ZAKE KWA HARAKA, UFANISI NA UPANA WA KUWAFIKIA KUNDI KUBWA LA WANANCHI.

    LAZIMA MUWE MSHAWASHO WA CCM KUNG'AMUKA NA KUHIMIZA SERIKALI KUWAJIBIKA HATA KUVUKA KIWANGO CHA ILANI YA UCHAGUZI 2010.

    UVCCM NI KUBWA KULIKO POSHO, AHADI YA CHEO WALA MTU MMOJA AU KUNDI DOGO.

    MIGOGORO NI CHACHU YA KUKUA NI VEMA IJADILIWE BILA KUOGOPANA 'NDANI YA VIKAO' SAHIHI.

    MAINA ANG'IELA OWINO.
    CCM UK.
    owinoz@yahoo.co.uk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...