Jerry Muro akiongea na waandishi wa habari leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.
Jerry Muro na mke wake wakitoka mahakamani.
kwa picha zaidi na habari kamili
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Muro mkeo ana bahati sana usimuache huyo, tena udai na fidia wamekupotezea muda wako hao bure umepoteza mambo mengi ya maana kwa sababu yao loh
ReplyDeleteWow!
ReplyDeleteSafi sana! Inaonekana Tanzania sasa hivi haki inatendeka (1) Kikwete kakubali maoni ya CHADEMA kuhusu suala la Katiba, (2) Mahakama imemwachia Jerry Muro!!
This is very encouraging uncle Michuzi. Sasa kama mambo yakiendelea hivi hakika na mimi narudi nyumbani nije nifanyie shughuli zangu za computer networks nyumbani.
By the way kaka Muro, umepata mke mzuri wa tabia, sura na imani. Hongera sana kwa hilo, wanaume wengi huwa wanachemsha ktk hilo(uoaji). Mtunze mkeo ndugu yangu huyo ndiye wako wa ubani anayekujali hata unapokuwa mtuhumiwa wa rushwa - good woman.
Buckinghamshire.
Hongera jembe, mwisho wa siku ukweli umeonekana.
ReplyDeleteBig up sana.
Jerry muru hongera kuwa huru na pole kwa usumbufu.
ReplyDeleteThank You Lord , Kishinda mpe pole sana Mama Mdogo na Massawe
ReplyDeleteHongera sana kaka.
ReplyDeleteSiku zote penye ukweli panaonekana. Usirudi nyuma kaka endelea kupambana. Wakiwepo Watanzania 10 kama wewe nchi itabadilika. BigUp
Nasikia alioa wakati kesi inaendelea. Ina maana alikuwa na uhakika wa kuachiwa huru?
ReplyDeletedah! mahakamani si mchezo jamaa kijasho kilimwagika ile mbaya any way yamekwisha kabadilishe shati
ReplyDeletehongera jerry na pole, hayo mafisadi nyangumi yalikupakazia tuu dawa kafanye kazi aljazira uwaumbue vizuri.... wifi yetu wa ukweli ana mvuto wa hatari.. sasa hivi nenda honey moon visiwa vya shelisheli kaa huko hadi next year. ukirudi uje na kasi mpya!
ReplyDeleteShida yao haikuwa kumfungulia kesi bali kumnyamazisha hasa kipindi cha uchaguzi. Nadhani hata Tido aliponea kufunguliwa kesi kama hiyo ila walikosa sababu. Huwezi toka kwenye vyombo vya habari vyenye msimamo huru ukafanya kazi kwenye nchi ya kikomnist na wala rushwa kama nchi za A. mashariki ukaishi. Angalia Congo wanavyopukutika kila siku. Our day will come. Mapambano bado yanaendelea.
ReplyDeleteHongera sana Muro.
ReplyDeleteSawa wadau lakini tusifikie conclusion eti haki inatendeka.
Tunajua ilikuwa kesi zushi, ila huwezi kwanini waliamua ku-surrender, huenda amepewa masharti aachane na uandishi habari za kiuchunguzi, na hapo ni pigo kwa uandishi wa habari iwapo ni hivyo.
Inamaanisha ukitaka kufanya kama Muro unapewa angalizo fikiria mara mbili.Bado safari ni ndefu bongo!
I have all the reason to thank God for brother Muro to be set free, I know God has been with you in this terror situation.I would also thank the magest for giving out the right, may God bless him. Sometimes in life things dont happen the way people look at them simply because of the reason hiden to men.Muro make sure your life is surrendered to Jesus and know that its for the divine purpose that you and friends are out.
ReplyDeleteRegards
Stay bless
I remain
Prince
Pole sana Muro....Huyo Mama usimwache....UKIMUACHA DUNIA ITAKUSHITAKI TENA....Ana imani sana , Hata kama walimdokezea kuwa kesi ya kubambika itaisha, lakini wengine hawasikii somo.
ReplyDeleteSijui Kova atakata rufaa... pole kamanda...huyo mkeo ni yule aliyetwa katika maandiko matakatifu...humpenda mumewe hata wakati wa dhiki na taabu!
ReplyDeleteSasa vipi kuhusu,,,maslahi yake?,,,atalipwa mafao?,,,atalipwa fidia?,,,amesumbuliwa, amedhalilishwa na amepotezewa muda bure...maana mazingira ya kesi ni ya bora liende chomeka chomeka!
ReplyDeleteHongera Muro! Mkeo mzuri na namsifu kavumilia ktk matatizo yote yupo pamoja nawe aendeelee hivyo mpaka kifo kitakapo watenganisha! Maana wadada wa siku hizi baadhi wakikuona umepata matatizo kazini nao wanaanza vituko mpaka mnaachana.
ReplyDeleteHongera Jerry Muro na kumbukuka kumshukuru Mungu kila siku na umefanya jambo zuri kuwasamehe waliokufikisha hapo na msamaha huu uwe wa dhati usikubali kupata vishawishi na kurudishwa nyuma kuwachukia na kuwatafuta watesi wako mwache Mungu mwenyewe aendelee kufanya kazi yake; kumbuka kuwa kuna watu ambao huwajui na hawakujui waliingia kwenye maombi kukuombea haki itendeke hivyo basi na wewe kila siku wakumbuke katika maombi yako Mungu awape neema zaidi ya kuombea wengine walio katika matatizo.
ReplyDeleteMpende mkeo ni mtu mwema je ni wanawake wangapi watakubali kufunga ndoa na mtuhumiwa??!! maana mkeo hakujua hatima ya kesi yako kulikuwa na mawili kushinda au kushindwa bali yeye hakuangalia yote hayo na alikuwa tayari hata kama ungefungwa gerezani asingekutupa kamwe - mpende, mtunze mweshimu. Nakutakia kila la kheri katika maisha na Mungu akujalie upate kazi mpya na akurudishie siku zako zilizopotea - zilizo liwa na viwavi na tunutu. bll
Jamani, huyo mkewe mbona hana furaha? Yaani picha zote (mpaka zile zilizopo Michuzi-Matukio) dada wa watu amenuna. Nilitegemea angekuwa anacheka mpaka jino la mwisho linaonekana.
ReplyDeleteHongera Jerry Muro.
ReplyDeleteNakupa mchongo wa kuwafuatilia polisi wa barabarani kwa kutoa notification form na kupokea pesa hapo hapo bila kutoa risiti.
Cheers,
Ignorant
Ndo wanaume mjifunze. Kwenye shida mnashika mikono wake zenu; kwenye raha mnakula na vimada. Simsemi muhusika ila naongelea experience in general; hamnaga shukrani nyie viumbe.
ReplyDeleteAnon wa Wed 10:27 inaelekea wewe hujui mapenzi ya dhati ni nini?!
ReplyDeleteKwani hata angehukumiwa kifungo kisengekua cha maisha na mkewe angemsubiri mume atoke gerezani waendelee na maisha yao..
Pole sana anon kwa kua na akili finyu..
Ama kweli maisha yetu yapo mashakani sana ukizingatia kesi hii ya Jerry Murro ya kubambikiziwa ametengenezewa na Bosi wa Polisi ambaye ni Alhaji!
ReplyDeleteanaitwa Sheikh SULEIMAN K.
Mdau wa 18 kutoka mwanzo hapo juu..mke wa Jerry Murro anakosa raha kwa vile ana akili timamu, ameshuhudia jinsi sula la mumewe lilivyo jiri...UDHALIMU ULIOKITHIRI KTK MIFUMO YETU NA INAMFANYA MATUMAINI NA MATARAJIO YANAPOTEA KABISA!
ReplyDeleteNakuunga Mkono Anonymous wa 21 hapo juu ulivyomweleza Anonymous wa 7 kutoka juu wa 10:27 ni vema ajue kuwa KIFUNGO ni SEHEMU YA MAISHA na vile vile GEREZA sio KABURI!
ReplyDelete