Mkazi wa Kijiji cha Mziha, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro ambaye jina lake halikufahamika mara moja, akifua nguo ndani ya Mto Mziha, kama alivyokutwa na Kamera Man wa Globu ya Jamii hivi karibuni , maji ya mto huo pia yanatumika kwa mahitaji mengine ya nyumbani na kitendo hicho cha uchafuzi kinahatarisha afya za watu wengine Kijijini hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ingelikuwa salama kufua mbali na mto maana maji ya mto watu wanakunywa na kupikia. Sasa wanavijiji wengi wakifua au kuchambia hapo mtoni kipindupindu kitakuwa hakiishi!!

    ReplyDelete
  2. Hapo siyo pa kuwalaumu kwani wao ndiyo mazoea yao miaka nenda miaka rudi.

    Ni vyema wakaeleweshwa pole pole madhara ya kufanya hivyo na baadae wataelewa.

    ReplyDelete
  3. yaani siamini macho yangu in the 21 century watu bado wanafua kwenye mito..okay wasiwe n machine za kufulia lakini at least maji yawafikie wananchi majumbani mwao basi...kweli tunashindwa kuweka hata mabomba ya maji mpaka kwa wananchi?

    ReplyDelete
  4. Wakale Wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...