Mkazi wa Kijiji cha Mziha, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro ambaye jina lake halikufahamika mara moja, akifua nguo ndani ya Mto Mziha, kama alivyokutwa na Kamera Man wa Globu ya Jamii hivi karibuni , maji ya mto huo pia yanatumika kwa mahitaji mengine ya nyumbani na kitendo hicho cha uchafuzi kinahatarisha afya za watu wengine Kijijini hapo.
Home
Unlabelled
KUFUA MTONI KIJIJI CHA MZIHA MKOANI MOROGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Ingelikuwa salama kufua mbali na mto maana maji ya mto watu wanakunywa na kupikia. Sasa wanavijiji wengi wakifua au kuchambia hapo mtoni kipindupindu kitakuwa hakiishi!!
ReplyDeleteHapo siyo pa kuwalaumu kwani wao ndiyo mazoea yao miaka nenda miaka rudi.
ReplyDeleteNi vyema wakaeleweshwa pole pole madhara ya kufanya hivyo na baadae wataelewa.
yaani siamini macho yangu in the 21 century watu bado wanafua kwenye mito..okay wasiwe n machine za kufulia lakini at least maji yawafikie wananchi majumbani mwao basi...kweli tunashindwa kuweka hata mabomba ya maji mpaka kwa wananchi?
ReplyDeleteWakale Wapi?
ReplyDelete