Lile tamasha la ujasiriamali ulilokuwa ukilisubiri kwa hamu limewadiwa. Linafanyika LEO Jumapili katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid Arusha kuanzia saa 5:00 Asubuhi.  Mbali ya kufundishwa mbinu mbwalimbali za kuwa milionea, kutakuwa na burudani kibao kutoka kwa Chrisina Shusho, Bonny Mwaitege, 20 Percent na wengine wengi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu.
 Wahai tiketi yako mapema katika sehemu zifutazo:
SHOPRITE SUPERMARKET, SUMMIT CENTRE, 
CORDIAL TOURS, ACQULINE HOTEL, 
KASI STORE, KIBO PALACE HOTEL ZOTE ZA ARUSHA.
 Nyote mnakaribishwa. 


Visit Global Publishers at:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...