Jana Jumamosi kulifanyika hafla kubwa ya aina yake katika Chuo Kikuu cha Soka, nchini Japani ambapo kulikuwa na mashindano ya kutoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili. Mashindano hayo ya 21 yaliwakusanya wageni mbalimbali kutoka mataifa ya Kenya na DRC Kongo na mgeni rasmi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Japani Bi. Salome Sijaona. kwa kusoma habari na kuangalia picha nyingi zinazohusiana na tukio hili bofya hapa: www.mawio-shineshine.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kazi kweli kweli, mdau ana haraka gani? china imekolea sana midomoni mwa wabongo, habari inaonyesha ni japan lakini bado unatuandia kichwa cha habari kwa maandishi makubwa ni china,

    ReplyDelete
  2. Ghafla hii imefanyika China ama japan?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...