Bi Amina Ikaji, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma katika shahada ya Uongozi na Rasilimali-Watu kwenye mahafali ya pili ya Chuo hicho jana.
Bi Neema Mbogoni akiwa na rafiki yake Bi Amina Ikaji (kulia) wakipongezana kwa hatua waliyofikia ya kuhitimu shahada ya kwanza jana kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma.
Wadau wakipongezana na kutakiana kheri katika maisha jana.
Hongera sana mwanetu! Ndivyo wanavyoonekana wakisema ndugu, jamaa na marafiki wa Amina.
Taswira ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa Mahafali ya pili jana.Na Mdau Prosper Minja.


vijana chadema tunawasubiri karibuni sana tudumishe chama chetu
ReplyDeleteJamani mmependeza sana hongereni sana. Amina uko juu!
ReplyDeleteWadau nawaonea vivu hasa shosti wangu Amina! Inshaalah tutafanikisha na siye mwakani
ReplyDeleteNeema na Amina mmependeza. Nawapongeza wote wliomaliza chuo.
ReplyDeleteAmina furaha ya ndugu zako inanitia hamasa ya kusoma. Big up my sister
ReplyDeleteSamahani, Bi Amina umeolewa??? Hicho kipini tu puani, mimi nipo hoi. Please tuwasiliane kupitia mtumrefu@gmail.com au kamutu2006@yahoo.com
ReplyDeleteDuh! watu wana macho! Mimi kipini sijakiona hata kidogo. Lakini Mbona picha za Amina tu! Hata hivyo HONGERA sana kwa kuhitimu.
ReplyDelete