Bi Amina Ikaji, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma katika shahada ya Uongozi na Rasilimali-Watu kwenye mahafali ya pili ya Chuo hicho jana.
Bi Neema Mbogoni akiwa na rafiki yake Bi Amina Ikaji (kulia) wakipongezana kwa hatua waliyofikia ya kuhitimu shahada ya kwanza jana kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma.
Wadau wakipongezana na kutakiana kheri katika maisha jana.
Hongera sana mwanetu! Ndivyo wanavyoonekana wakisema ndugu, jamaa na marafiki wa Amina.
Taswira ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa Mahafali ya pili jana.Na Mdau Prosper Minja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. vijana chadema tunawasubiri karibuni sana tudumishe chama chetu

    ReplyDelete
  2. Jamani mmependeza sana hongereni sana. Amina uko juu!

    ReplyDelete
  3. Mwanaidi HemediNovember 27, 2011

    Wadau nawaonea vivu hasa shosti wangu Amina! Inshaalah tutafanikisha na siye mwakani

    ReplyDelete
  4. Iddi ShomariNovember 27, 2011

    Neema na Amina mmependeza. Nawapongeza wote wliomaliza chuo.

    ReplyDelete
  5. Amina furaha ya ndugu zako inanitia hamasa ya kusoma. Big up my sister

    ReplyDelete
  6. Samahani, Bi Amina umeolewa??? Hicho kipini tu puani, mimi nipo hoi. Please tuwasiliane kupitia mtumrefu@gmail.com au kamutu2006@yahoo.com

    ReplyDelete
  7. Duh! watu wana macho! Mimi kipini sijakiona hata kidogo. Lakini Mbona picha za Amina tu! Hata hivyo HONGERA sana kwa kuhitimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...