Jana Jumamosi kulifanyika hafla kubwa ya aina yake katika Chuo Kikuu cha Soka, nchini Japani ambapo kulikuwa na mashindano ya kutoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili. Mashindano hayo ya 21 yaliwakusanya wageni mbalimbali kutoka mataifa ya Kenya na DRC Kongo na mgeni rasmi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Japani Bi. Salome Sijaona. kwa kusoma habari na kuangalia picha nyingi zinazohusiana na tukio hili bofya hapa: www.mawio-shineshine.blogspot.com
Home
Unlabelled
Mashindano ya 21 ya kutoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili yafanyika nchini china
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


kazi kweli kweli, mdau ana haraka gani? china imekolea sana midomoni mwa wabongo, habari inaonyesha ni japan lakini bado unatuandia kichwa cha habari kwa maandishi makubwa ni china,
ReplyDeleteGhafla hii imefanyika China ama japan?
ReplyDelete