Mdau Rahim Mbowe akiwa nyumbani kwao kabla ya kwenda kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Menejimenti ya Utalii, katika mahafali ya nne ya chuo Kikuu cha Tumaini (SMMUCO) mjini moshi mwishoni mwa wiki..
Rahim akiwa na wahitimu wenzake.
Mdau Rahim Mbowe akiwa na baba yake Mohamedi Mbowe na mama yake Grace Temba mara baada ya kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Menejimenti ya Utalii, katika mahafali ya nne ya chuo Kikuu cha Tumaini (SMMUCO) mjini moshi mwishoni mwa wiki.
Rahimu akiwa na dada yake Bilhuda Mbowe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hayo macho ya huyo dada kushoto kwa Rahimu mh, we acha tu!!

    ReplyDelete
  2. Ma'ansha.Allah mmependeza sana Rahim na dada yako Rahma,Allah akuzidishieni,,,Ahlam UK

    ReplyDelete
  3. naweza kwenda kuchumbia kesho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...