Sehemu ya mji mpya nje kidogo mwa mji wa Tanga na si mbali sana na kiwanda cha Saruji unamea majengo ya kupendeza na ya  kisasa na kuonesha kwamba mji huo sasa umeanza kuibuka taratibu kimaendeleo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Kazi ya Nyerere ilikuwa ni kuuwa maendeleo yoooote ya waislam na mikoa ambayo waislam wako wengi..iweje mji wa tanga uwe umechoka ilhali Arusha unapendeza..na ukitoka dar sharti upite kwanza Tanga..viwanda, bandari, mikonge vyote ajavitilia maanani...twende mtwara, lindi, kigoma,mabararabara mabovu maendeleo sifuri ilhali kuna mazao bandari nk...halafu mnadai nchi hii haina udini...sasa tunasema tumeshtuka na tunaanza mambo yetu kwa kasi...ikishika moto mtaumbuka...

    ReplyDelete
  2. Nyerere hakuleta umaskini kwa mikoa ya waislamu futa huo usemi. Waislamu wenzangu wanapenda bao, kahawa, kuoa na kuzaana lini watapata nafasi ya kwenda shamba? Arusha hakuna kulala box kwa sana na huwezi kukuta wanaume wakisengenya ila wanaume ambao ni nguzo ya maisha/familia bao kwa sana kwenye bao kuna umbea baada ya bao mke wa 7 baada ya hapo watoto 77. Watoto wenyewe wanazaa zaidi wapi mtalingana na Arush?

    ReplyDelete
  3. GREENM KUZURI NA KUNAPENDEZA. NINGEPENDA KUISHI TANGA. MICHUZI SASA HIZI NDIO PICHA NZURI.

    ReplyDelete
  4. Kazi ipo, nadhani kuna watu ni sikio la kufa. we anonymous wa kwanza acha sababu za kipumbavu, maendeleo yauwawe na wananchi sababu ya uvivu na kushinda na makanzu vibarazani kisaha umsingizie Nyerere, wake up. Mbona Rukwa, Ruvuma na sehemu nyingine hujazitaja? loooo watu wengine bwana! acha uzero brain, chapa kazi.

    ReplyDelete
  5. ni kweli mji unapanuka na ni jambo jema , lakini nikionacho mimi ni jiji kupoteza ile sifa yake ya awali ya kuwa na mpangilio mzuri wa mitaa na barabara , huko inakoelekea ni mfumo wa dar es salaam - nyumba barazani ni choo

    naomba kutoa hoja

    hata madashi ta'avina nayo !

    ReplyDelete
  6. annoy wa kwanza lazima ni mgonjwa!ivi unategemea nyie kutwa kushinda vibarazani na kutokupeleka watt shule mnawapeleka madrasa eto ndo elimu halafu unalalamika maendeleo!endelea kupiga domo wala usijifananishe na Arusha utalala macho!na kuna waislam kule pia ila wamendelea baada ya kujichanganya na wenzao!wewe lalia udini wako tu!

    ReplyDelete
  7. Tanga ndio ya wajanja usisikie...Tanga funiko!!! Wawawa Mji wangu wa kuzaliwa,,,,Nimezaliwa EUROPEAN HOSPITAL/ imekuwa ikiitwa GALANOS..... RESPECT CANAL TOP!!!

    ReplyDelete
  8. Babake TANGA Coast line ya ukweli usisikie!!!!

    ReplyDelete
  9. SISI WAISLAM NI WAPUMBAVU ! HIOO IPO MPAKA SASA WAISLAM NI WAVIVU SI WAFANYAKAZIWAO WAMEKAA TU ETI RIDHIKI ATAILETA MUNGU WAKATI WENZETU WAKRISTU NI BOX KWENDA MBELE!_ TANGA NI USWAHULI NA MAJUNGU TUU YALIOZOROTESHA MAENDELEO KUSEMANA NDIO ZOA, WAKATI HAWAJUI LOLOTE,UCHAWI NAO UMEKITHIRI, WATOTO ZAO HAWAENDI SHULE ZAIDI YA KUSOMA QURAN TU JAPOKUWA DUNI NI SAWA LAKINI WALIBASE SANA NA DINI WAKASAHAU MAENDELEO MPAKA IMESABABISHA WAO KWA WAO KUOGOPANA KWANI KILA FAMILI INA SIFA YA UCHAWI, HIO ILISABABISHA SANA KUZOROTA KWA MAENDELEO KATIKA MIJI KAMA HUO TANGA, LINDI, NA KIGOMA NA BAADHI YA MIJI KAMA BAGAMOYO!MTU HAKUSOMA LAKINI ANAWAKE WA NNE, HANA KAZI, ANAAMKIA KWENYE BAO NA MAJUNGU YASIOKWISHA UBISHI NDIO WAO WA CCM NA CHADEMA TANGU ASUBUHIMPAKA MSIKITINI, HAJUI ATAKULA NINI ATI SADAKA ITALETWA MISIKITINI KWA NEEMA YA MOLA. HAYO NI MACHACHE TU AMBAYO YALIONGEZEA SANA KUZOROTA KWA MAENDELEO HUSUSAN MIKOA HIYO, SIO NYERERE ALIESABABISHA. NYERERE ALIPIGA SANA KELELE KUHUSU ELIMU NDIO MAANA ELIMU ILIKUWA NI YA BURE LAKINI WENGI WAISLAM HAWAKUCHUKULIA SERIUOS, WAKARI ARUSHA , BUKOBA MBEYA NA MIKOA MJNGINE ILIWEKEA MAANANI SHULE WAKAELIMIKA KIDOGO. HIVYO KUTOKANA NA KWENDA SHULE WALIWEZA KUPANUKA KIMAWAZO HATA HAYO YA KUOO WAKE SITA WALILIONA MBALI KUWA SIO HEKIMA KWANI KUKWAMA NI RAHISI.NDIO MAANA VIONGOZI WETU WENGI NI WAKRISTU AU WATU WALIOTOKA MIKOA TOFAUTI NA HIYO YA KIMWINYI. TANGA NI MAJUNGU, UONGO, UCHAWI, KUONEANA WIVU. KATIKA RESEARCH ZILIZOFANYIKA NCHINI INAONEKANA WATANZANIA WENGI WALIOKUWA NA WAKE WENGI NI TANGA ,BAGAMOYO (PWANI), LINDI ,KIGOMA,TABORA ,NA MOROGORO. AMBAO WENGI NI WAISLAM.
    HUWEZI KUWA NA WATOYO 9, UKAWEZA KUWAPA ELIMU YA KUJIKOMBOA KIMAISHA, KAMA WEWE NI MZAZI AMBAYE HUNA AJIRA: TUKIBADIRISHA TABIA HII BASI TANZANIA ITAENDELEA NA WAKINA MAMA ANGALIENI SWALA HILI LA KUOLEWA NA MWANAUME ALIEKUWA NA MKE MWINGINE WEWE UWE NAMBA 2 AU 3, MAISHA YATAKUWA NI MABAYA TU.

    MDAU MWANZA

    ReplyDelete
  10. Nyie ndo wachochezi kwa sababu thinking capacity ndogo sana wewe mtoa comment wa kwanza fikiri kabla hujaongea, haqlafu jaribu kufanya tafiti ta makabila mbalimbali pamoja na dini zao, kwanza ninyi mnapinga elimu dunia maendeleo mtayapataje? hayo mawazo yako ya uchochezi ili kuondoa amani nchini , kwani miaka 20 nchi ilipoongozwa na ndugu zako waislamu kwa nini hawakupeleka nguvu huko kama kweli Nyerere alipaacha?Endelea kufunga msuli kaa barazani kunywa chai ongeza wanawake , cheza bao halafu uone maendeleo yatakayokufuata. Nahisi wewe ni mfuasi wa Bokoharamu wanopinga education. Libya Walioendelezwa na Mwislamu mwenzao wamempa Shukrani gani kama si kumdhalilisha? Think critically, widely and loudly.

    ReplyDelete
  11. Mambo ya udini yanakera sana. We anony wa kwanza Wislamu walio katika mikoa unayidhani ina maendeleo unawaweka kundi lipi? Kwamba wewe ni Muislamu zaidi kuliko wao? Usifikiri Waislamu wako katika mikoa hiyo tu, wako kila mkoa. Tatizo hapa ni matumizi ya fursa kati ya mikoa iliyo pwani na ile iliyo bara. Mikoa ya pwani wana fursa kubwa kwa maana ya ardhi kubwa yenye rutuba, ufukwe, bahari na misitu, vitu ambavyo mikoa mingi ya bara haina. Zitumieni fursa hizo vyema ili tuendelee.
    Tuamke, tuache udini.

    ReplyDelete
  12. Michuzi una filter nini kwenye maoni? Mbona wapumbavu anon 1,2, 4 hapo juu unawaachia wakijitaarbu kwa mapana hivyo?

    ReplyDelete
  13. kweli michuzi naona unabana wewe mbona maoni yangu hujayatoa au una watu unawataka watoe maoni wao pekee hio tabia unayo sana basi kama ni hivyo funga blog, hii ni kweli nimeandika neno kubwa kuhusu tanga nimelipa internet cafe shs 1000 halafu naona imenitia kapuni kweli basi mkuu endeleza hao uwapendao wewe au na wewe ni Chadema

    ReplyDelete
  14. Freedom of speech for all

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...