Wananchi mabalimbali wakisali sala ya maiti ili kumuombea Marehemu Septi Suleiman aliefariki leo katika Hospitali ya mnazi mmoja huko Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakiwa wamebeba mwili wa aliekuwakatibu mtendaji wa Tume ya Utangazaji zanzibar na mwanahabari mkongwe Marehemu Septi Suleiman ambae amezikwa huko kijijini kwao Mwera kichokani.Marehemu Septi Suleiman amezikwa katika makaburi ya familia huko mwera kichokani leo.





INNALILLAHI WAINNAILAYHI RAJIUUN MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI. AMEEN
ReplyDelete