PICHA NA DIXON BUSAGAGA WA GLOBU YA JAMII, MOSHI


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. sasa hapa ni Tanzania au Rwanda??

    ReplyDelete
  2. Tanzania Moshi.

    ReplyDelete
  3. sijaelewa the comment above is Rwanda that good or bad?Please explain.

    ReplyDelete
  4. Moshi bwana kusafiii hata vijijini pia sio Dar vumbi uchafu kila mahali

    ReplyDelete
  5. moshi mji wa sifa nzuri, wachanga oyeeee!ukitaka usafi nenda moshi ukajione mambo!
    usicheze na mchanga na kwao!

    ReplyDelete
  6. Mwasemaga Moshi ni pa safi,mbona kwa picha hizi sijaambua huo usafi?

    ReplyDelete
  7. HAO WATAKUWA WAKIBOSHO WALIOTOKA KARIAKOO WAMEJAZA MIGARI YAO HUKO KWENDA KUTAMBIKIA

    ReplyDelete
  8. utajibeba kama hujaona usafi wa moshi,pana mvuto haswaaa ni wewe na kengeza lako pole weeeeeeee,nenda alafu tupa hata mfuko wa plastiki njiani 50,000 fine inakuhusu,mji mzuriiiiiiii

    ReplyDelete
  9. Nadhan hata kama walikwenda kutambika ni moja ya utekelezaji wa tamaduni zao.WEWE JE KUTAMBIKA HUTAMBIKI NA KWENU HUENDI

    ReplyDelete
  10. Wtu wengine bwana, kusoma hujui hata kuona pia huwezi basi nenda mwenyewe Moshi ndio uhakikishe ni pasafi,Moshi eyeee..

    ReplyDelete
  11. Nimeishi Moshi kwa kipindi cha miaka minne, lakini usafi wake eneo hili tu la round about. kwekingine kote ni vumbi na uchafu tu na siku za mvua usiseme kwa tope za dongo nyekundu mtelezo. Na kwa picha hizi sijaona mabadiliko ya maana.

    ReplyDelete
  12. Mfano mzuri kwa miji mingine ni Moshi kwa usafi kwanini miji mingine istupe sifa kama Moshi its not a question of wachaga, watu wa Moshi wanataka mji wao uwe msafi na viongozi wao wako mstari wa mbele. Welldone

    ReplyDelete
  13. Wewe Anymous unaeanza na....... Mwasemaga Moshi ni pa safi,

    1.Huoni picha inavyodhihirisha USAFI WA MJI?,,,,WA TANZANIA BWANA WABISHI KWELI, YAANI PICHA INAONYESHA MJI ULIVYOKUWA MSAFI HAPAONEKANI HATA ,GANDA LA NDIZI, CHUNGWA,EMBE,KIPANDE CHA KARATASI, KINYESI, KIPISI CHA SIGARA WALA CHUPA TUPU YA MAJI YA UHAI AU KILIMANJARO!

    2.Tofauti ya mji Kabla ya Krismasi MAGARI YAMEJAA, na baada ya Krismasi MAGARI YAMEPOTEA KABISA BARABARA TUPUUU!!!

    Ingawa KICHWA CHA HABARI KIMEGONGA ''MJI WA MOSHI ULIVYOONEKANA KABLA YA SIKUKUU YA XMASS NA MOSHI KABLA YA XMASS'' badala ya kuandika '' MJI WA MOSHI ULIVYOONEKANA KABLA YA SIKUKUU YA XMASS NA BAADA YA XMAS''

    ReplyDelete
  14. Hebu acha utani mdau, umeona rambo au chupa ya maji inazagaa hapo...mji unavutia sana

    ReplyDelete
  15. Mdau Anonyomus Thu Dec 29, 01:33:00 PM 2011

    UNAESEMA...Nimeishi Moshi kwa miaka minne, lakini usafi wake ni eneo hili la round about tu.

    Kwani usafi kuwa eneo dogo tu la round about, hiyo sio jitihada?

    Huoni huo utakuwa ni Mfano wa kuigwa na maeneo mengine?

    Kama imewezekana hapo round about, je mji mzima itashindikana?

    Sasa wewe unafikiri huo usafi utakuwa hadi vichochoroni na mashambani?

    NINYI NDIO WAKATISHAJI TAMAA NA WAPINGA MAENDELEO!

    ReplyDelete
  16. MIMI MNDENGEREKO, NIMEOA KIBOSHO!!!
    KUSEMA KWELI MOSHI NA WACHAGA NI MIFANO YA KUIGWA.
    WANA UMAKINI AMBAO KAMA UNGEKUWEPO KWENGINE TZ INGEKUWA MARIDADI.
    KUNA KASORO SIWEZAZO KUONEKANA MOSHI LAKINI ALL IN ALL WAKWE ZANGU WAKO MAKINI, NI MFANO WA KUIGWA.
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  17. Wachaga semeni Dirisha...hahahahah...mtasema DRISHA...hahahaha.kama mpemba na mchele asema nchele.... hahahahah

    ReplyDelete
  18. Kilichoandikwa hapa ni Mji wa Moshi na ndio maana hata huko vichochoroni ni maeneo ya mji wa Moshi.

    Bado nasema usafi wa Moshi ni maeneo ya round about tu.Tokea lini moshi ukawa msafi. Askari kasimama katika barabara chafu mwenye macho haambiwi tazama.

    Mbona Picha zote za usafi hupigwa hapa tu na kule Soweto na Kiboroloni jee.

    ReplyDelete
  19. Kama mji msafi msafi tu...unataka tulambe vumbi kwenye lami!!!!? Wapinga maendeleo hawajifichi...

    ReplyDelete
  20. Moshi kiboko jamani hata milimani wanakokaa ni pasafi sana sana.
    Mie nawafagilia sana wachaga pamoja na kuwa mie ni Mmasai

    ReplyDelete
  21. Na mimi nikipiga picha za pale Movenpick (Serena) Dar nikasema jiji la Dar es salaama ni safiii na linafaa kupigiwa mfano mtasemaje? Nakubali Moshi wanajitahidi kwa usafi lakini hizi picha hazitoi taswira halisi ya hali hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...