Home
Unlabelled
Mji wa Moshi ulivyooonekana kabla ya siku kuu ya Xmass na kabla ya Xmas
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa hapa ni Tanzania au Rwanda??
ReplyDeleteTanzania Moshi.
ReplyDeletesijaelewa the comment above is Rwanda that good or bad?Please explain.
ReplyDeleteMoshi bwana kusafiii hata vijijini pia sio Dar vumbi uchafu kila mahali
ReplyDeletemoshi mji wa sifa nzuri, wachanga oyeeee!ukitaka usafi nenda moshi ukajione mambo!
ReplyDeleteusicheze na mchanga na kwao!
Mwasemaga Moshi ni pa safi,mbona kwa picha hizi sijaambua huo usafi?
ReplyDeleteHAO WATAKUWA WAKIBOSHO WALIOTOKA KARIAKOO WAMEJAZA MIGARI YAO HUKO KWENDA KUTAMBIKIA
ReplyDeleteutajibeba kama hujaona usafi wa moshi,pana mvuto haswaaa ni wewe na kengeza lako pole weeeeeeee,nenda alafu tupa hata mfuko wa plastiki njiani 50,000 fine inakuhusu,mji mzuriiiiiiii
ReplyDeleteNadhan hata kama walikwenda kutambika ni moja ya utekelezaji wa tamaduni zao.WEWE JE KUTAMBIKA HUTAMBIKI NA KWENU HUENDI
ReplyDeleteWtu wengine bwana, kusoma hujui hata kuona pia huwezi basi nenda mwenyewe Moshi ndio uhakikishe ni pasafi,Moshi eyeee..
ReplyDeleteNimeishi Moshi kwa kipindi cha miaka minne, lakini usafi wake eneo hili tu la round about. kwekingine kote ni vumbi na uchafu tu na siku za mvua usiseme kwa tope za dongo nyekundu mtelezo. Na kwa picha hizi sijaona mabadiliko ya maana.
ReplyDeleteMfano mzuri kwa miji mingine ni Moshi kwa usafi kwanini miji mingine istupe sifa kama Moshi its not a question of wachaga, watu wa Moshi wanataka mji wao uwe msafi na viongozi wao wako mstari wa mbele. Welldone
ReplyDeleteWewe Anymous unaeanza na....... Mwasemaga Moshi ni pa safi,
ReplyDelete1.Huoni picha inavyodhihirisha USAFI WA MJI?,,,,WA TANZANIA BWANA WABISHI KWELI, YAANI PICHA INAONYESHA MJI ULIVYOKUWA MSAFI HAPAONEKANI HATA ,GANDA LA NDIZI, CHUNGWA,EMBE,KIPANDE CHA KARATASI, KINYESI, KIPISI CHA SIGARA WALA CHUPA TUPU YA MAJI YA UHAI AU KILIMANJARO!
2.Tofauti ya mji Kabla ya Krismasi MAGARI YAMEJAA, na baada ya Krismasi MAGARI YAMEPOTEA KABISA BARABARA TUPUUU!!!
Ingawa KICHWA CHA HABARI KIMEGONGA ''MJI WA MOSHI ULIVYOONEKANA KABLA YA SIKUKUU YA XMASS NA MOSHI KABLA YA XMASS'' badala ya kuandika '' MJI WA MOSHI ULIVYOONEKANA KABLA YA SIKUKUU YA XMASS NA BAADA YA XMAS''
Hebu acha utani mdau, umeona rambo au chupa ya maji inazagaa hapo...mji unavutia sana
ReplyDeleteMdau Anonyomus Thu Dec 29, 01:33:00 PM 2011
ReplyDeleteUNAESEMA...Nimeishi Moshi kwa miaka minne, lakini usafi wake ni eneo hili la round about tu.
Kwani usafi kuwa eneo dogo tu la round about, hiyo sio jitihada?
Huoni huo utakuwa ni Mfano wa kuigwa na maeneo mengine?
Kama imewezekana hapo round about, je mji mzima itashindikana?
Sasa wewe unafikiri huo usafi utakuwa hadi vichochoroni na mashambani?
NINYI NDIO WAKATISHAJI TAMAA NA WAPINGA MAENDELEO!
MIMI MNDENGEREKO, NIMEOA KIBOSHO!!!
ReplyDeleteKUSEMA KWELI MOSHI NA WACHAGA NI MIFANO YA KUIGWA.
WANA UMAKINI AMBAO KAMA UNGEKUWEPO KWENGINE TZ INGEKUWA MARIDADI.
KUNA KASORO SIWEZAZO KUONEKANA MOSHI LAKINI ALL IN ALL WAKWE ZANGU WAKO MAKINI, NI MFANO WA KUIGWA.
Mndengereko, Ukerewe
Kabsa kabsa!!
ReplyDeleteMOSHI OYEEEEEE
ReplyDeleteWachaga semeni Dirisha...hahahahah...mtasema DRISHA...hahahaha.kama mpemba na mchele asema nchele.... hahahahah
ReplyDeleteKilichoandikwa hapa ni Mji wa Moshi na ndio maana hata huko vichochoroni ni maeneo ya mji wa Moshi.
ReplyDeleteBado nasema usafi wa Moshi ni maeneo ya round about tu.Tokea lini moshi ukawa msafi. Askari kasimama katika barabara chafu mwenye macho haambiwi tazama.
Mbona Picha zote za usafi hupigwa hapa tu na kule Soweto na Kiboroloni jee.
Kama mji msafi msafi tu...unataka tulambe vumbi kwenye lami!!!!? Wapinga maendeleo hawajifichi...
ReplyDeleteMoshi kiboko jamani hata milimani wanakokaa ni pasafi sana sana.
ReplyDeleteMie nawafagilia sana wachaga pamoja na kuwa mie ni Mmasai
Na mimi nikipiga picha za pale Movenpick (Serena) Dar nikasema jiji la Dar es salaama ni safiii na linafaa kupigiwa mfano mtasemaje? Nakubali Moshi wanajitahidi kwa usafi lakini hizi picha hazitoi taswira halisi ya hali hiyo.
ReplyDelete