Familia ya marehemu JULIA JOHN IVAMBI inapenda kutoa shukurani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote kwa kufanikisha msiba wa mama yao mpendwa uliotokea tarehe 11/11/2011 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar-Es-Salaam.

Na baadae kuzikwa Kondoa mkoani Dodoma siku ya tarehe 15/11/2011.

Tunapenda pia kuwakaribisha katika mkesha wa kumalizia msiba utakaofanyika nyumbani kwa marehemu Mburahati NHC ‘B’ nyumba namba 540 siku ya ijumaa kuanzia saa 12 jioni tarehe 23/12/2011 hadi jumamosi mchana. Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli hii.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...