Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dkt. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Abort Fund ndo nini Michuzi? na inashughulikia mambo gani? inabid wanaokuletea hizi habari wawe wanachukua information za kutosha. Labda walio TZ wanajua je tulioko Ughaibuni tunajua Abort Fund ndo kitu gani?

    ReplyDelete
  2. Coorection! Ni Abbott Fund na SIO ABORT Fund.

    Wanashughulika na masuala ya afya.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, hiyo ni Abbott Fund na sio ABORT Fund. Ni maneno mawili tofauti hayo

    ReplyDelete
  4. ABBOTT FUND NOT ABORT FUND!!! and ngo that funds health projects

    ReplyDelete
  5. Inaitwa Abott Fund. Sio Abort...
    Kwa ufupi, Mfuko wa Abbott uilianzishwa na Abbott, mwaka 1951 huko, Illinois, Marekani. Mfuko wa Abbott unalenga kujenga jamii zenye afya duniani kote.

    Jamani mtandao unao..fanya utafiti kabla hujauliza.. kama nilivyofanya mimi

    ReplyDelete
  6. ....Pia ndio waliohusika/wanaohusika na ukarabati wa majengo ya hospitali za mikoa na rufaa hapa nchini kama vile Muhimbili (Dar). Pamoja na majengo, pia wamefanya kazi kubwa sana kwenye uboreshaji wa maabara (na vifaa vyake) za hizo hospitali. Fuatilia hospitali ya mkoani kwako unakotoka, ukiona imependeza, utaambiwa ni Abbott Fund ndio utawajua ni nani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...