Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA ABORT FUND IKULU DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Abort Fund ndo nini Michuzi? na inashughulikia mambo gani? inabid wanaokuletea hizi habari wawe wanachukua information za kutosha. Labda walio TZ wanajua je tulioko Ughaibuni tunajua Abort Fund ndo kitu gani?
ReplyDeleteCoorection! Ni Abbott Fund na SIO ABORT Fund.
ReplyDeleteWanashughulika na masuala ya afya.
Michuzi, hiyo ni Abbott Fund na sio ABORT Fund. Ni maneno mawili tofauti hayo
ReplyDeleteABBOTT FUND NOT ABORT FUND!!! and ngo that funds health projects
ReplyDeleteInaitwa Abott Fund. Sio Abort...
ReplyDeleteKwa ufupi, Mfuko wa Abbott uilianzishwa na Abbott, mwaka 1951 huko, Illinois, Marekani. Mfuko wa Abbott unalenga kujenga jamii zenye afya duniani kote.
Jamani mtandao unao..fanya utafiti kabla hujauliza.. kama nilivyofanya mimi
....Pia ndio waliohusika/wanaohusika na ukarabati wa majengo ya hospitali za mikoa na rufaa hapa nchini kama vile Muhimbili (Dar). Pamoja na majengo, pia wamefanya kazi kubwa sana kwenye uboreshaji wa maabara (na vifaa vyake) za hizo hospitali. Fuatilia hospitali ya mkoani kwako unakotoka, ukiona imependeza, utaambiwa ni Abbott Fund ndio utawajua ni nani.
ReplyDelete