Mwendesha pikipiki wa mjini songea ambaye hakufahamika jina lake akihesabu fedha zake mjini humo kufuatia ugumu wa biashara hasa wakati huu wa masika ambapo mvua zinasababisha watu wengi kutotumia usafiri huo.
Akina mama wanaojishughulisha na uuzaji wa ndizi katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Songea wakitafuta wateja kama walivyokutwa na mpiga picha wetu mjini humo.PICHA NA MUHIDIN AMRI.
sema mazeee!!!!!!!! ushapata ahh wapi!!!life ipo tyte,ganga njaa panpofaa mwanangu,kabwela kachakaa kushinda njaa,chai kwa nguna hakuna kununa mwanangu,maisha mabovu,watu wanyonge,Gonga simbi kichwa mwenge!masikini kachoka nyumba inavujaa kama dambweni!mambo siyo super,we chezaa!
ReplyDelete