Mwendesha pikipiki wa mjini songea ambaye hakufahamika jina lake akihesabu fedha zake mjini humo kufuatia ugumu wa biashara hasa wakati huu wa masika ambapo mvua zinasababisha watu wengi kutotumia usafiri huo.
Akina mama wanaojishughulisha na uuzaji wa ndizi katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Songea wakitafuta wateja kama walivyokutwa na mpiga picha wetu mjini humo.PICHA NA MUHIDIN AMRI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sema mazeee!!!!!!!! ushapata ahh wapi!!!life ipo tyte,ganga njaa panpofaa mwanangu,kabwela kachakaa kushinda njaa,chai kwa nguna hakuna kununa mwanangu,maisha mabovu,watu wanyonge,Gonga simbi kichwa mwenge!masikini kachoka nyumba inavujaa kama dambweni!mambo siyo super,we chezaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...