Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Kamishana wa Magereza,Marehemu Elias Mtige Nkuku, aliyefariki juzi kabla ya kusafirishwa kwenda kwao mkoani Singida. Shughuli hii imefanyika leo katika bwalo la jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Kanali Pastory Kamugisha wa JWTZ aliyefariki juzi kabla ya kusafirishwa kwenda kwao mkoani Kagera. Shughuli hii imefanyika leo katika kambi ya jeshi ya Lugalo Jijini Dar es salaam.Picha na IKULU.


Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...