Bwana Kaka, Si vibaya kuwafahamisha diaspora ya ki-Tanzania kuhusu maendeleo na nafasi za uwekezaji ktk mkoa wa Kigoma, kwani mfano sasa hivi kuna hoteli ya nyota nne Lake Tanganyika hotel ambayo inawezesha kuchangamsha biashara ktk nyanja mbalimbali kama utalii, usafirishaji mizigo kwenda nchi jirani n.k tazama video: MDAU MWISHO WA RELI |
Home
Unlabelled
Video ya maendeleo ya mkoani Kigoma - Lake Tanganyika hotel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kazi nzuri wazalendo umenishawishi kuja vakesheni kigoma mwisho wa reli....vyumba bei gani mkuu,sijaona rates kwenye website yenu?
ReplyDeletejamani kigoma. hongera sana muwekezaji huyu. hotel inapendeza jamani, si mchezo. Michuzi uwe unaleta vitu kama hivi toka kila mkoa. da! nakumbuka enzi zile kigoma ilikuwa inaonekana kama eneo la kutoa nguvu kazi tu (manamba), lakini sio siri, ukimpata mtu toka huko, yule wa asili kabisa, jamani ni wachapa kazi, wanalima hasa. Lakini, ni vema watu wa kigoma wakahamasishana kuacha "gossips" maana hazileti maendeleo, jamani kigoma kuna kale karoho ka kubaguana baguana, ka roho ka umbea umbea na kupenda kuleta chokochoki... jamani hata kanisani! hiyo sio siri! kigoma ndio ilivyo but kwetu ni kwetu. but tukibadilika na maendeleo yataongezeka! mambo ya kibirizi, bitale, makere, ......GOD BLESS KIGOMA
ReplyDeleteSijafika Kigoma lakini picha hii imenifanya nitamani kutembelea Kigoma kunaonekana kuzuri sana tena kuna chakula kingi. Hongereni sana kwa maendeleo mazuri.
ReplyDeleteVERY NICE. sasa hii video inatakiwa itengenezwe kwa Kiingereza, Kifaransa, Kispanish, Kiarabu, na Kichina/Mandarin. Labda kuwe na feature ya closed caption ktk lugha hizo. Globalization ndivyo inavyotaka.
ReplyDeletePia msisitizo uwepo kwenye vivutio vingine vya Kigoma kama hifadhi ya Mahale na Gombe.
Kweli hii ni changamoto kwa wawekezaji wazalendo. Inafurahisha kusema kweli!
ReplyDelete