Bwana Kaka,
Si vibaya kuwafahamisha diaspora ya ki-Tanzania kuhusu maendeleo na nafasi za uwekezaji ktk mkoa wa Kigoma, kwani mfano sasa hivi kuna hoteli ya nyota nne Lake Tanganyika hotel ambayo inawezesha kuchangamsha biashara ktk nyanja mbalimbali kama utalii, usafirishaji mizigo kwenda nchi jirani n.k tazama video: 
MDAU MWISHO WA RELI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kazi nzuri wazalendo umenishawishi kuja vakesheni kigoma mwisho wa reli....vyumba bei gani mkuu,sijaona rates kwenye website yenu?

    ReplyDelete
  2. jamani kigoma. hongera sana muwekezaji huyu. hotel inapendeza jamani, si mchezo. Michuzi uwe unaleta vitu kama hivi toka kila mkoa. da! nakumbuka enzi zile kigoma ilikuwa inaonekana kama eneo la kutoa nguvu kazi tu (manamba), lakini sio siri, ukimpata mtu toka huko, yule wa asili kabisa, jamani ni wachapa kazi, wanalima hasa. Lakini, ni vema watu wa kigoma wakahamasishana kuacha "gossips" maana hazileti maendeleo, jamani kigoma kuna kale karoho ka kubaguana baguana, ka roho ka umbea umbea na kupenda kuleta chokochoki... jamani hata kanisani! hiyo sio siri! kigoma ndio ilivyo but kwetu ni kwetu. but tukibadilika na maendeleo yataongezeka! mambo ya kibirizi, bitale, makere, ......GOD BLESS KIGOMA

    ReplyDelete
  3. Sijafika Kigoma lakini picha hii imenifanya nitamani kutembelea Kigoma kunaonekana kuzuri sana tena kuna chakula kingi. Hongereni sana kwa maendeleo mazuri.

    ReplyDelete
  4. VERY NICE. sasa hii video inatakiwa itengenezwe kwa Kiingereza, Kifaransa, Kispanish, Kiarabu, na Kichina/Mandarin. Labda kuwe na feature ya closed caption ktk lugha hizo. Globalization ndivyo inavyotaka.

    Pia msisitizo uwepo kwenye vivutio vingine vya Kigoma kama hifadhi ya Mahale na Gombe.

    ReplyDelete
  5. Kweli hii ni changamoto kwa wawekezaji wazalendo. Inafurahisha kusema kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...