Home
Unlabelled
Vitu Bomba toka Tancon trading
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hilo kabati la milango miwili bei gani ? mbona kioo cha kabati ni kidogo sana ?
ReplyDeleteHivyo kwa wadau wenye pesa zao na mafisadi. Sisi walalahoi twataka vile vilivyotumika tayari, wasikia hivyo amii!!
ReplyDeleteHiyo sio kabati, ni JOKOFU.
ReplyDeleteSasa duka lenu liko wapi dar?
ReplyDeleteHALLOO TUTOLEENI HAYO MAYEBO YEBO YA KICHINA, YASIYOKUWA NA UBORA. AU NINYI TAYARI MMEKWISHA ONGEA NA WATU WA TBS!
ReplyDeleteMIMI NAISHI CHINA HAYO MADUDE YOTE SI YA THAMANI HIVYO WALA SIO MARK ZAKE KAMA ZINA MAJINA ORIGINAL NI FEKI TUPU. LETENI VITU KUTOKA ULAYA
Mdau Shanghai
wewe mdau wa shaghai usiwe mjinga na mpungufu wa akili sio kukaa huko ndio ujifanye mjuaji sana kumbuka kuwa tanzania miaka nenda rudi tunatumia vifaa vya china na japan
ReplyDeletemambo ya vitu vya ulaya yameanza hizi siku tu.
Enzi za Mwalimu hivyo vitu vilikuwa "ANASA" na kama ulikuwa navyo basi ukaitwa "MHUJUMU UCHUMI"!
ReplyDeleteKweli Tanzania imebadilika, vitu kila mahala, magendo ya vitu vya kawaidia kama sabuni/sukari hakuna tena. Safi sana.