Ankal akila pozi na wadau wa Globu ya Jamii wanaokula nondozzzz chuo kikuu cha University of Botswana  jijini Gaborione walipogongana kwenye uwanja wa chuo hicho zilikofanyika sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha BDP. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michu ulipita 'juu kwa juu' nini Heathrow-Gaborone?Juzi tu nilikuona umeshika mguu wa kuku choma London.Anyway,kila la kheri.

    David V

    ReplyDelete
  2. Michuzi we CCM tu. Kila safari za naniii kwenda naniii mara naniiii, upo tu. Hukosi. Halafu, tukiandika article kulalamikia masuala nyeti, yanayomhusu naniiii na timu yake, wewe huwa huzichapishi! Anyway, kila la kheri!

    ReplyDelete
  3. 1.Kada wa Chama,

    2.Katibu Mwenezi Mshirikishi na Propaganda za Chama,

    Mkate huo inabidi na sisi Wadau tutafune chenga chenga zake!

    Haya Ankal tupo pamoja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...