Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Anselm Tarimo akimkaribisha Balozi wa Cuba nchini,Mh. Ernesto Gomez Diaz wakati Balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi yenye lengo la kukuza ushirikiano wa nchi mbili mkoani Ruvuma leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Dkt Pulor Lopez Hernandez kutoka Cuba ambaye anafanya kazi katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akijitambulisha kwa Balozi wa cuba hapa nchini.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Hassan Lumbe akitoa maelezo kwa Balozi wa Cuba Ernesto Gomez Diaz wakati balozi huyo alipotemebelea na kukugua wodi ya magonjwa katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma leo.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii,Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. duh mkuu wa mkoa CHADEMA anampokea mgeni kwa kuonyesha ishara ya ushindi 2015

    ReplyDelete
  2. yeees, kapiga gwandaz then katupia ile ishara ya ushindi...safi sana hii. Dalili ya mvua...

    ReplyDelete
  3. Mkuu naona anakumbatia kwa woga, usiogope huyo sio naniiii....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...