Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Balozi Elly Mtango (katikati) akizungumza wakati wa Semina ya siku moja ya Wahariri na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji,Raymond Mbilinyi na Mkurugenzi wa Utafiti na Habari,John Kyaruzi.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji,Raymond Mbilinyi akizungumza wakati wa Semina ya siku moja ya Wahariri na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika Semina ya siku moja iliyoandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) iliyofanyika Dar es Salaam leo.
Ankal akiwa na Baadhi ya wadau waliokuwa wamehudhuria semina hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ankal naona umenyuka pamba,pedejee,(pedecee)uko juu not only the fulanas safi sana. hiyo suti nimekubali.
    mdau washington

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...