Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Kweli kabisa huyu ni daktari BIGWA wa meno hawezi kuwa daktari BINGWA wa meno LOL

    ReplyDelete
  2. Ahhh Daktari huyu wa Meno muuaji mkkubwa anastahili kupelekwa Mahakama ya Dunia sambamba na kundi la akina Uhuru Kenyatta!

    ReplyDelete
  3. mh! hii kitu si itapondwa hadi ndani ya pua!

    ReplyDelete
  4. photo editor

    ReplyDelete
  5. Laahaula walaakuwwata Hiyo ni kesi ya mauaji du!!

    ReplyDelete
  6. Do you call him a dentist! this man should be charged for gbh or attempted murder is an evil dentist

    ReplyDelete
  7. Hii safi sana inanikumbusha kukatwa jando na sime kule porini.

    ReplyDelete
  8. KWA MTAJI HUU BORA KURUDI KWENYE TIBA ASILIA YA MITISHAMBA!

    Kwenye Hospitali hiyo kwa Dakitari huyo wa meno hunipeleki hata kwa viboko!

    Mizizi na Majani vyote ni DAWA!

    ReplyDelete
  9. Matibabu ya namna hii ndipo utashuhudia Mgonjwa anampiga mangumi Dakitari!

    ReplyDelete
  10. Wallahi mabata ushungu mie Mwaarab!

    ReplyDelete
  11. Jumaaaaaa!!!!, nafanya nini mimi Hindi?

    ReplyDelete
  12. Swahiiili, chacha naumiza mimi Kanjibhai!!!

    ReplyDelete
  13. Hapo jamaa mfanyakazi wa Hospitali ya Wahindi anarudisha mapingo kiujanja kwa kufanyiziwa na Waajiri Waasia.

    ReplyDelete
  14. Hapo jamaa mfanyakazi wa Hospitali ya Wahindi anarudisha mapingo kiujanja kwa kufanyiziwa na Waajiri Waasia.

    ReplyDelete
  15. Haya ndio madhara ya kufanyishwa kazi nje ya muda!

    ReplyDelete
  16. Jamani walipeni posho zao haraka la sivyo balaa..............

    ReplyDelete
  17. Kama ni mimi nitasimamisha zoezi haraka, nitaamka na kuelekeza kofi la uso kwa Dakitari!

    ReplyDelete
  18. Ustaadhi huyu Dakitari wa Meno kama sio Muwakala wa AL Shabaab au Al Qaeda atakuwa ni Boko Harram!

    Itabidi kwa vile yeye ni Maalim aadhibiwe kwa Sheria za Kiimani kwa kosa lake hili!

    ReplyDelete
  19. seleman dewjFebruary 15, 2012

    Duh! hiyo hatari! nimemkubali Dr.

    ReplyDelete
  20. Dakitari wa Zamu wa Idara ya Meno katika Kliniki inayomilikiwa na kundi la Boko Harram!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...