Home
Unlabelled
daktari bigwa wa meno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli kabisa huyu ni daktari BIGWA wa meno hawezi kuwa daktari BINGWA wa meno LOL
ReplyDeleteAhhh Daktari huyu wa Meno muuaji mkkubwa anastahili kupelekwa Mahakama ya Dunia sambamba na kundi la akina Uhuru Kenyatta!
ReplyDeletemh! hii kitu si itapondwa hadi ndani ya pua!
ReplyDeletephoto editor
ReplyDeleteLaahaula walaakuwwata Hiyo ni kesi ya mauaji du!!
ReplyDeleteDo you call him a dentist! this man should be charged for gbh or attempted murder is an evil dentist
ReplyDeleteHii safi sana inanikumbusha kukatwa jando na sime kule porini.
ReplyDeleteKWA MTAJI HUU BORA KURUDI KWENYE TIBA ASILIA YA MITISHAMBA!
ReplyDeleteKwenye Hospitali hiyo kwa Dakitari huyo wa meno hunipeleki hata kwa viboko!
Mizizi na Majani vyote ni DAWA!
Matibabu ya namna hii ndipo utashuhudia Mgonjwa anampiga mangumi Dakitari!
ReplyDeleteWallahi mabata ushungu mie Mwaarab!
ReplyDeleteJumaaaaaa!!!!, nafanya nini mimi Hindi?
ReplyDeleteSwahiiili, chacha naumiza mimi Kanjibhai!!!
ReplyDeleteHapo jamaa mfanyakazi wa Hospitali ya Wahindi anarudisha mapingo kiujanja kwa kufanyiziwa na Waajiri Waasia.
ReplyDeleteHapo jamaa mfanyakazi wa Hospitali ya Wahindi anarudisha mapingo kiujanja kwa kufanyiziwa na Waajiri Waasia.
ReplyDeleteHaya ndio madhara ya kufanyishwa kazi nje ya muda!
ReplyDeleteDUH!!!!
ReplyDeleteJamani walipeni posho zao haraka la sivyo balaa..............
ReplyDeleteKama ni mimi nitasimamisha zoezi haraka, nitaamka na kuelekeza kofi la uso kwa Dakitari!
ReplyDeleteUstaadhi huyu Dakitari wa Meno kama sio Muwakala wa AL Shabaab au Al Qaeda atakuwa ni Boko Harram!
ReplyDeleteItabidi kwa vile yeye ni Maalim aadhibiwe kwa Sheria za Kiimani kwa kosa lake hili!
Duh! hiyo hatari! nimemkubali Dr.
ReplyDeleteDakitari wa Zamu wa Idara ya Meno katika Kliniki inayomilikiwa na kundi la Boko Harram!
ReplyDelete