Home
Unlabelled
GARI INAUZWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAELEZO YAKO NI HAFIFU,TOA DETAILS KAMILI ZA HILO GARI KM MILEAGE,AUTOMATIC/MANUAL,ENGINE CC,IMETENGENEZWA MWAKA GANI N.K ILI MTU AJUE ANAULIZIA GARI LENYE PARTICULARS ZIPI
ReplyDeletemdau, wewe ulipoamua kununua Japan, uliona picha tu au uliona vitu, kma size ya injini, mwaka ilipotengenezwa, aina ya mafuta inatumia, na vikorombwezo vingine. hii inakuwa unauza mchicha, maan apicha nitajua mchicha au miogo, n abei umesema maelewano..gari nzuri, lakini mtu mpaka uamue kuanza maelelwano, lazima upate vitu hivyo vimetajwa hapo juu!
ReplyDeletenitafuatilia kama details hizo zipo kabla ya kuanza mazungumzo
Tumilioni tusaba hapo unapata
ReplyDeleteHapo inaonekana kama ipo Japan?
ReplyDeletewewe+utakuwa ni dalali
ReplyDeleteMaelezo hayaja kamilika, uwezo wa engine ni cc mgapi, imetembea Km ngapi, niya mwaka gani na imeingia lini hapa nchini?
ReplyDeletehivi ankali utaacha lini tabia ya kutuweka haya matangazo yako ambayo unajuwa kabisa waosha vinjwa lazima watasema maana mtu anauza gari bila kuweka bei
ReplyDeletenimegundua ankali ukiona blog imekaa kimya unaweka gari na unajifanya inauzwa ili uchangamshe blog kwa waosha vinywa
nakumbuka kuna gari ilitangaziwa kuuzwa humu ndani ikapata comment nyingi sana na baada ya miezi au mawiki ukairudisha tena
hahahhahaha janja ya paka tingisa mkia....