GARI HII AINA YA TOYOTA MARK II GX 110 INAUZWA NA BEI NI SAWA NA BURE LAKINI MAELEWANO YAPO,NI GARI AMBAYO HAIJATUMIKA KABISA BONGO,IMETOKA MOJA KWA MOJA JAPAN.

MAWASILIANO KWA ANAEHITAJI
PIGA NAMBA HII 0753 047 577

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MAELEZO YAKO NI HAFIFU,TOA DETAILS KAMILI ZA HILO GARI KM MILEAGE,AUTOMATIC/MANUAL,ENGINE CC,IMETENGENEZWA MWAKA GANI N.K ILI MTU AJUE ANAULIZIA GARI LENYE PARTICULARS ZIPI

    ReplyDelete
  2. mdau, wewe ulipoamua kununua Japan, uliona picha tu au uliona vitu, kma size ya injini, mwaka ilipotengenezwa, aina ya mafuta inatumia, na vikorombwezo vingine. hii inakuwa unauza mchicha, maan apicha nitajua mchicha au miogo, n abei umesema maelewano..gari nzuri, lakini mtu mpaka uamue kuanza maelelwano, lazima upate vitu hivyo vimetajwa hapo juu!
    nitafuatilia kama details hizo zipo kabla ya kuanza mazungumzo

    ReplyDelete
  3. Tumilioni tusaba hapo unapata

    ReplyDelete
  4. Hapo inaonekana kama ipo Japan?

    ReplyDelete
  5. wewe+utakuwa ni dalali

    ReplyDelete
  6. Maelezo hayaja kamilika, uwezo wa engine ni cc mgapi, imetembea Km ngapi, niya mwaka gani na imeingia lini hapa nchini?

    ReplyDelete
  7. hivi ankali utaacha lini tabia ya kutuweka haya matangazo yako ambayo unajuwa kabisa waosha vinjwa lazima watasema maana mtu anauza gari bila kuweka bei

    nimegundua ankali ukiona blog imekaa kimya unaweka gari na unajifanya inauzwa ili uchangamshe blog kwa waosha vinywa

    nakumbuka kuna gari ilitangaziwa kuuzwa humu ndani ikapata comment nyingi sana na baada ya miezi au mawiki ukairudisha tena


    hahahhahaha janja ya paka tingisa mkia....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...