Asalaam Alaikum brother Issa I do hope this mail finds you in great health. I want to congratulate you on your Blog which I am a current visitor and each day I get to read the current news. I am a hiv positive muslim woman who would like to take this opportunity to thank you for your dedication in your work and for giving people a chance to find love in your blog and know whats happening around them politically,socially,economiallay you name it.

I know by me coming forward and you granting me the opportunity by posting my post I your fellow sister would inshaallah meet somone who is going through the same calamity as I am. Thanks in Adavance.

I am a hiv positive muslim Tanzanian African woman of 35 years of age residing in Dar es Salaam who was diagonised with HIV in 2007. I believe my life trails and challenges have made me a better person. I am religious,passionate,polite,good listener,charming,decent, down to earth,reserved and fun to be with. 

 I have a great sense of humour and have alot of love to give. I value all of life's experiences and I am not bitter that bad things happen to good people like you and me. My life goes on,so does my heart.

I am healthy very tall 6 feet blessed with a few extra pounds who dresses according to the occasion. I am a single parent blessed with one Son.

I seek a HIV positive muslim man who is healthy,genuine,charming,romantic man for marriage preferrably in his 40s to 60s,single (never married or widowed) A man who has done that been there a really wants to settle down. He must be religious, healthy,independent,intelligent a good muslim man who also has to be upfront and real about whatever situation maybe. 

I am 6ft so please be about that height too. As it has bbeen said am man should be judged by the content of his character a man who knows that a relationship has more to it than Sex and who truely knows what it means to Respect a woman.

We all deserve happiness and to all those HIV positive people out there theres life after being affected with Aids lets have hope and make this world a better place.

Kindly get intouch through my emails: latifah.ahmed@yahoo.com or latifah_31@hotmail.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. Inshallah, Mwenyezi Mungu atakujaalia umpate miongoni mwa Mu'minin

    ReplyDelete
  2. Hongera Bi Latifah kwa kujitambua na kujitangaza bila ya woga.

    Naona umeamua kabisa, nakutakia kila la kheri katika kutafuta huko.

    Ukimpata huyo ukae utulie naye.

    ReplyDelete
  3. Alaykum Salaam,

    Our beloved Sister,

    May Allah bestow you with patient following the demise that touched your personality,

    Inshallah!

    ReplyDelete
  4. mtumeeeeeee! haya makubwa sasa. Madogo lakini yana nafuu

    ReplyDelete
  5. Ombi zuri kabisa. Ila kwa kutaka mwanamume ambaye naye si HIV positive huoni kuwa unajinyanyapaa mwenyewe. Ungetangaza kuwa wewe ni positive na unahitaji mwenza. Pia sharti la umri na kuwa awe hajawahi kuoa halitekelezeki, huwezi kupata mtanzania wa umri huo ambaye hajawahi kuoa. Kama yupo ana kasoro. Asilimia kubwa ya watanzania ni wa kimo na ankali sasa huyo wa futi 6 utampata wapi?

    Nakushauri ondoa masharti yote na uweke picha hapa pamoja na CV pia utangaze uwezo wako wa kiuchumi halafu utaona maombi yakavyomiminika.

    ReplyDelete
  6. pray with you sister....Be bless and strong in Jesus name.Amen!

    ReplyDelete
  7. Ningeomba au ingependeza zaidi kama ungeiandika kiswahili ili ujaaliwe kupata mwenzako inshaallah.Kwasababu sio wote wanaongea lugha ya kigeni.
    Good Luck

    ReplyDelete
  8. Mdau hapo juu,umesema kuwa huyu dada anatafuta mtu ambaye sio positive,,mbona kaandika anatafuta mwenza positive Man!Ila tu kusema kuwa mwanaume ambae hajawahi kuoa au kufiwa na mke,hiyo naona kweli kakosea,maana umri huwo wa 40s to 60s lazima awe kaoa na kama ni positive huwenda alishafiwa na mke!
    Na kusema aweke CV yake hapo kwani anaapply kazi,si anatafuta Mwenza?Na kutoa picha yake kwani ni nini si ndo mtamnya nyapaa kabisa?,,,
    Natumaini kwa Qudra zake Mola wetu Bi Latifah utapata Mwenza soon Insha'Allah!BarakAllahu,,,
    Ya'arabi Akuongoze,na akufanyie uwepesi kwa hili jambo la Kheri,
    Naona kama hukupata katika post hii ya kingereza,jaribu tena kwa kiswahili.
    Na urefu pia jaribu kuomba hata mwenye kuwa na chini kidogo ya 6ft
    Dada nimekupendaje!Muumwaa Ubalikiwe sana!
    ...Ahlam,,,UK

    ReplyDelete
  9. Anon wa Wed Feb 01, 02:09:00 PM 2012, husomi vizuri? amesema anatafuta ambae nae ni HIV positive hajasema kuwa aawe negative,

    Nakuombea InshaALLAh ujaa'liwe umpate mwenzio ambae mtapendakwa ajili ya ALLAh.

    Ankal michuzi sijasikia kama ameoa ila sidhani kama ni positive, hapo itakuwa shughuli kidogo! Ankal muonee hurma umuoe huyu Bibie utajaaliwa Janna maana sijawahi kumuona Mrs.

    ReplyDelete
  10. Aamen Amen Amen jina la bwana lihimidiwe.

    ReplyDelete
  11. Let me see if I can align your requirements correctly:

    You are looking for:
    1. Muslim man
    2. HIV Positive
    3. Single/Widow (never been married)
    4. 6ft tall
    5. Religious, Charming, Good listener and blah blah....

    And you are:
    1. HIV Positive
    2. 6ft tall with few pounds
    3. Single mom

    what you have to offer? Don't you think you're asking for too much?

    ReplyDelete
  12. Anoni wa 02:56 01Feb 2010 nafikiri hukuelewa lugha au watu wengine ni lazima mponde huyu dada amesema anatafuta HIV mwenzake na hajasema asiye HIV.Hivyo basi hajajinyanyapaa kama unavyosema.

    ReplyDelete
  13. anonymous 5 soma vizuri ombi la dada anahitaji mtu aliye HIV positive kama yeye...dada Latifah i wish Mungu akujalie sawasawa ombi lako...!

    ReplyDelete
  14. HE HAS TO BE AT LEAST 40 YRS AND NEVER BEEN MARRIED? U KIDDING! GOOD LUCK WITH THAT

    ReplyDelete
  15. dada vvu ina vijidudu tofauti nadhani vya aina mbili sasa kwa mfano weye una vidudu X ukalala na mwenye vidudu Y basi unajiharibia maisha yako yakatike haraka yaani imagine X&Y ndani ya mwili havitaendana na dawa zitakuwa tabu kukutibu hivyo utajiletea kifo haraka

    uliza madaktari wajuao haya vizuri, ndio maana hata kama unapata mwenye ukimwi basi watu bado wanajikinga sababu ya vijidudu vya aina mbili

    hii ni kitu important sana ambayo watu wengi hawafahamu na ukatisha maisha yao haraka hata kama avr inawasaidia shuti one day inaacha kuwasaidia tena sababu wamejiingizia balaa lingine ndani ya miili yao.

    Naomba ufuatilie sana na njia gani mtakuwa mnapeana raha etc

    mie sio daktari ningekueleza mengi bali ndio hivyo. nilisumuliwa hivi na rafiki yangu daktari tulipongeleage topic hii miaka iliyopita.

    Ubarikiwe

    ReplyDelete
  16. Inshallah, utabaarikiwa na mwenza utampata na ndoa itakuwa tamu na utasahau yote yaliyokukuta

    ReplyDelete
  17. We pray for you sister

    ReplyDelete
  18. Hongera dada yangu..ingawa nina angalizo kwako ni hatari kutafuta HIV mume kwa kuwa unaongeza kitu wanaita viral load.. Pia ni rahisi kupata pia aina nyingine za hiv virus,

    ReplyDelete
  19. Ujumbe umefika Michuzi!
    *Atafutae hupata!

    ReplyDelete
  20. Sioni kwa nini anatafuta mwenzie awe HIV+ tu, kwani upendo wa mtu ndio muhimu. Angesema tu yeye ni HIV+ anatafuta mwenzie basi, wanaume wenyewe wangeamua kama wanataka kuwa naye au hapana, kwa vile wana upendo wa kweli. Vile vile dada naona ana masharti mengi, kwa mfano dini, kwani hapo anaacha wengi ambao labda wana upendo kweli. Na jamaa anayesema sijui dada akijichnganya na mtu mwingine mwenye virusi eti kwa sababu sijui viko tofouti X+Y(sielewi,aache kutishia watu, wote tunakufa na hatujui lini. Unaweza kufa sasa au baadaye ni sehemu ya kuendeleza maisha. Tuwachee kuwanyanyapaa wenzetu.

    ReplyDelete
  21. NADHANI HUYU DADA MPAKA KUJITANGAZA HAPA KADAMNASI KWA MICHUZI,,AMEISHA PITIA MADAKTARI LUKUKI,KWA HIYO ANAJUWA ATASTAREHE VIPI NA PIA KUSEMA ANATAFUTA MWENZA POSITIVE,BASI HATAKI KUWAPA SHIDA WA NEGATIVE,,NAHISI WAO WAATHIRIKA WANAJUWA ZAIDI KULIKO ASOATHIRIKA,,,,
    HATA HIVYO DADA KIFO NI KWA KILA MTU AIDHA UNAUMWA AU UMZIMA,,WAKATI WOWOTE TUNATEMBEA NA UMAUTI SISI BINADAMU,,,NA HUYU DADA KUCHAGUA WA DINI YAKE NAHISI NI JAMBO BORA SANA HAPA DUNIANI KUOLEWA AU KUOA MTU WA DINI MOJA,,ILI MUWE MNAOMBA KWA MWENYEZI MUNGU KWA IMANI MOJA!
    INSHA'ALLAH UTAPATA TU NIKO NA IMANI HIYO,,NA UKIPATA DADA TUJULISHE BASI TUJUE DUAH ZETU KAMA ZIMEPOKELEWA,,TUNAKUOMBEA SANA,MIMI NA WADAU WENGI WALIOTOA COMMENTS
    AHLAM UK

    ReplyDelete
  22. Nahisi huyu dada ana maana HIV negative,ila labda kasahau au kachanganya lugha.

    Labda huenda anatafsiri POSITIVE ni kitu safiiiii,hivyo ana maana kuwa ASIYE na HIV!

    Ni maoni yangu tu

    ReplyDelete
  23. wewe dada usikate tamaa omba mungu utapona, mimi nimeomba mungu na nimepona omba kwa imani usikate tamaaa, hiv ni nini mbele ya mungu?

    ReplyDelete
  24. Mi nashauri aweke condition ya mwanaume awe tayari kupima HIV, Baada ya matokeo mwanaume aamue ata akiwa +ve or -ve. LOVE is the most important thing. I support her in some restrictions eg. Age, height etc are very important. Suala la DINI lisiwe kikwazo, je kwa yule ambaye atakua tayari kubadili dini je?

    ReplyDelete
  25. ASSALAM ALAYKUM!

    Dada Latifah Pole sana!

    Suala lingine, kulingana na maoni ya Wadau kadhaaa hapa nafikiri kwa vile mtoto umeshapata na kuwa kuendelea na mwenendo wa KUJAMIIANA itaharakisha kazi ya athari ya virusi unavyoishi navyo kwa sasa,,,nakushauri PIGA MOYO KONDE, UACHE MATARAJIO YA KUTAFUTA MUME KWA VILE PATAKUWA NA ULAZIMA WA JIMAI (KUJAMIINA)NA ZAIDI UDUMISHE IBADA!

    ReplyDelete
  26. Amina anon wa thu feb 02,04:01:00 am 2012.

    ReplyDelete
  27. Dada, POLE SANA!

    Achana na utafutaji Mwanaume kwa vile utaashiria wewe kuwa na mwenendo wa KUJAMIIANA ambao kwako kwa sasa kulingana na yaliyokufika ni hatarishi zaidi,,,Mtoto umeshapata Alhamdullilah, ILI UISHI MAISHA YA RAHA YALIYOBAKI, HUKU UKISUBIRI AHADI YA ALLAH,,,KILICHOBAKI NI KUISHI KATIKA USEJA NA KUENDELEZA IBADA!

    ReplyDelete
  28. Alaykum Salaaam,

    Dada yetu Mpendwa, Pole na matatizo!.

    Ma Ustaadh wetu wenyewe tunawajua,huyo unayemtafuta akikuoa na ulivyo jaaliwa uzuri itakuwa ni majambozzzz tu bila breki kitu ambacho kita kuchosha na kuongeza kasi ya athari za VVU vilivyo tayari mwilini mwako!

    Kwa matatizo uliyoyapata huku ukiwa tayari umesha jaaliwa kupata mtoto achana na mawazo ya MUME na KITANDA (itabidi uukabili mtihani huu mgumu wa useja) kilichobaki kwako ni MKEKA na SWALA!

    ReplyDelete
  29. AAWW,

    Pole dada Latifah,

    Ni vema ukaendeleza masuala ya kiibada kama hisani mfano:

    1-Kazi za Misikitini za kujitolea.
    2-Kama unayo elimu ya Dini fundisha Madrassa.
    3-Mume ndio ni muhimu isipokuwa inawezekana upakata mume mwenye GUBU akakuzidishia KARAHA badala ya FARAHA.!

    ''SUALA LA UTULIVU WA KISAIKOLOJIA NI MUHIMU SANA KWA WATU WENYE MATATIZO KAMA HILI''

    HUSTAHILI KUKARIBISHA MAZINGIRA YATAKAYO ASHIRIA KUSONONEKA UNATAKIWA MATUMAINI NA FARAJA ZAIDI!

    ReplyDelete
  30. Ndugu pole sana!

    Huyo Ustaadh atakae patikana atalitumia tangazo lako kama Katiba ndani ya nyumba kumuhakikishia ''Unyumba'' atakuwa hana lingine la ziada!

    Kama Ujuavyo Ma Ustaadhi na Masheikh wetu wengi hawanywi (pombe) wala kuvuta sigara!,,,sasa mtu wa namna hiyo anaeleweka kuwa anajaza vipi hapo hilo pengo?,,,wenyewe Wadau ninyi ni watu wazima mnajua hili!

    Ni wazi ata mchokesha zaidi dada yetu kwa ''mabunduki'' yake na akifanya ndio kama Ibada!

    ReplyDelete
  31. mamdogo kamiss chakula ya usiku na hataki kumuua mtanzania mwenzake. Anaonekana ana roho ya huruma. Mungu amuadhibu ambaye hakumuonea dada huyu huruma na kumpa tatizo hili. Tatizo ambalo yeye hataki kuligawa kama alivyogawiwa.

    ReplyDelete
  32. JAMANI ndio maana anataka mtu mwenye tatizo kama lake kwa sababu wote wawili wanajua ilani za tendo la ndoa ni kwamba hawafanyi mara kwa mara sana sana ni mara moja tu kwa mwezi na kwa kutumia kinga sio bila condom.

    nilivyomsoma mie ni kwamba anahitaji zaidi mtu wa kukaa nae na kubadilishana mawazo na kuliwazana kuwa na mume katika hali hii haina maana kuwa anahitaji tendo la kujamiina kivile nop! nyie wengi mnaobisha na kuona ajabu ni wale ambao mmejaliwa kupima afya zenu na kujikuta mko safi lakini kwa watu kama mie naelewa haswa kitu ambacho huyu dada anazungumzia.

    ReplyDelete
  33. Dada yetu,

    Pole,,,nakushauri shika Tasibihi mkononi na zingatia Swala zaidi,,, Ustaadh yeye mwenyewe atakuwa ameumia pia (Ameathirika) hakuna jingine atakuchanganya na atazidi kukubomoa Kiafya kwa Mtalimbo!

    ReplyDelete
  34. Dada yetu, Pole kwa masahibu yaliyokufika!

    Sio rahisi kumdhibiti Mwanaume katika suala la Unyumba eti, tutakuwa tunakula chakula kwa mwezi mara moja!

    Asalaleee, Ustaadh wa namna hiyo labda apatikane Shariff kweli kweli lakini wengi wao ''Ma ustaadh Vibandiko'' hawa mara kwa mara hatakubali Matalimbo wake ulale dorooo!!!

    ReplyDelete
  35. Pole sana dada yatu,

    Shariti la chakula cha usiku mara moja kwa mwezi, eti kuzingatia Ushauri Nasaha wa Angaza?

    Itakuwa ni vigumu Ustaadh ameoa kwa halali kulala mwezi mzima kitandani amekumbatia mto eti chakula cha usiku kwa Mgawo?

    ReplyDelete
  36. dada yangu pole sana...haya ni maisha. nakubaliana na mdau mmoja aliyesema kuwa mpaka dada ameamua kuweka ombi lake humu hadharani ina maana ameshapata ushauri sana tu wa suala hili kutoka kwa wataalamu, hivyo anajau anachokitafuta...lakin angeegeza baadhi ya masharti kidogo kama umri angeanza nagalau na mtu wa umri wake au hata akiwa amemzidi kidogo..na urefu pia angeshuka kidogo hata futi 5 sio mbaya..mengine ya dini, ucheshi n.k nakubaliana nae..awe hajaoa au sio mjane ni sharti ambalo kwangu naliona ni gumu kuliko yote mpaka nikapata mawazo kuwa huyu dada anatania watu ktk mtandao au anafanya utafiti fulani hivi..maana si rahisi kumpata..lakn je yeye kwani si mjane au hajawahi kuolewa pia?...

    anyway, i believe most of the people who put their comments here, like me are praying for you to get one inshaallah...God luck my sis in islam..loptz@yahoo.co.uk

    ni mtazamo tu

    ahsante
    hsm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...