Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza wakati wa mkutano wa pili wa wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
 Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi za Jamii (NSSF),Crescentius Magori akitoa mada mbali mbali za kikao cha kwanza cha Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano wa pili wa Wadau wa NSSF,Omari Ayoub Juma (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo ulioanza rasmi asubuhi ya leo katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.Wengine pichani ni kutoka kulia ni Waziri wa Kazi,Mh. Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Aboubakar Rajab na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau.

 Waheshimiwa Wabunge pia wapo kwenye mkutano huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. duuu na wabunge wamezifungia safari na posho za huko,hawa jamaaa no noma,kauli mbiu yao nadhani ni posho kwanza

    ReplyDelete
  2. anony Wed Feb 01, 01:44:00 PM 2012 tena wabunge ndio waliojaza ukumbi.

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana NSSF kaka Dr.Dau tunakushuru kwa muongzo makini.kulifikisha hapa shirika.
    Mdau Baba Jesca.
    Lewisham.UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...