Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi,Mh. Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hapo mtoto wa mkulima mh.pinda anafanya matani kwa kumwambia mh.kikwete aaaah nimewapiga chini wale waliokuwa ndio vikwazo kwa madaktari hahahaha hahaha

    mh.kikwete...tena ulifanya jambo la busara sana maana madaktari kugoma ni jambo kubwa sana hahahahaha ilikuwa kasheshe


    najisemea tu sina uhakika na mazungumzo yao...lol

    ReplyDelete
  2. Anony wa kwanza hapo juu umenifurahisha sana, lakini mazungumzo yao yaliendelea hivi:
    JK: Mbona hukumchukulia hatua hizo JAIRO?

    PINDA: Kaka yake alimtetea pale ofisini kwako!!!!!!!!!!!!!
    Teh teh Teh!!!!!! Hata mimi nakisia tu sina uhakika.

    Abiola Jr.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...