Magari yakiwa ymegongana kwende makutano ya batabara ya Bibi Titi na Azikiwe Avenue mara baada ya kila mmoja kutaka kumuwahi mwenzake muda mfupi baada taa za kuongozea magari kuzimika kutoka na na kukatika kwa umeme kati kati ya Jiji la Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. makos a ya dereva huyu wa dalala...awekewe mbaroni siku saba tuu!

    ReplyDelete
  2. Wewe mdau wa kwanza hapo juu, nenda kajifunze upya sheria za Barabarani, daladala limeshaziba barabara yote na limeanza kukata kona, hivyo linalindwa na sheria ya kulindwa kwani mpaka hapo dereva wake hategemei tena gari kutoka nyuma au pembeni, isipokuwa mbele tu, huyo mwenye taxi, kajigongesha mwenyewe na hivyo mchoro untakiwa kuonyesha hivyo>

    ReplyDelete
  3. Dala dala na dereva wa taksi hua kila safari kusababisha ajali. Barabara ya msimbazi na Morogoro kila siku kuna kero, nashaangaa wakati huo sheria kwa ajili ya madereva hao ikuwapi?

    ReplyDelete
  4. Kosa la Teksi Draiva, alichomekea!

    ReplyDelete
  5. Mgongaji ndie mwenye kosa. Sheria inasema huwezi kugonga kitu cha mbele yako hata kama alifanya kosa. hapo mwenye dala dala aliona hiyo taksi iko mbele yake na akaigonga.

    ReplyDelete
  6. Kosa la serikali kutohakikisha taa za kuongoza magari zinafanya kazi wakati wote. Serikali iwalipe fidia, hasa huyo Mngeleja.

    ReplyDelete
  7. Hapo wamekutana Daladala Bwana Haraka na Taxi Bwana Kasikasi,,,hakuna wa kumsubiri mwenzie Bosi wao ni Fedha na Hesabu ya Tajiri inayowapeleka kama hawana akili vile!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...