Home
Unlabelled
kijimzinga cha magari jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
makos a ya dereva huyu wa dalala...awekewe mbaroni siku saba tuu!
ReplyDeleteWewe mdau wa kwanza hapo juu, nenda kajifunze upya sheria za Barabarani, daladala limeshaziba barabara yote na limeanza kukata kona, hivyo linalindwa na sheria ya kulindwa kwani mpaka hapo dereva wake hategemei tena gari kutoka nyuma au pembeni, isipokuwa mbele tu, huyo mwenye taxi, kajigongesha mwenyewe na hivyo mchoro untakiwa kuonyesha hivyo>
ReplyDeleteDala dala na dereva wa taksi hua kila safari kusababisha ajali. Barabara ya msimbazi na Morogoro kila siku kuna kero, nashaangaa wakati huo sheria kwa ajili ya madereva hao ikuwapi?
ReplyDeleteKosa la Teksi Draiva, alichomekea!
ReplyDeleteMgongaji ndie mwenye kosa. Sheria inasema huwezi kugonga kitu cha mbele yako hata kama alifanya kosa. hapo mwenye dala dala aliona hiyo taksi iko mbele yake na akaigonga.
ReplyDeleteKosa la serikali kutohakikisha taa za kuongoza magari zinafanya kazi wakati wote. Serikali iwalipe fidia, hasa huyo Mngeleja.
ReplyDeleteHapo wamekutana Daladala Bwana Haraka na Taxi Bwana Kasikasi,,,hakuna wa kumsubiri mwenzie Bosi wao ni Fedha na Hesabu ya Tajiri inayowapeleka kama hawana akili vile!
ReplyDelete