Muwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Asia Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na mume wake Mzee Khamsin katika onyesho hilo lilinalofanyika usiku wa kiamkia leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mapato yaliyopatikana kwenye onyesho hilo yatatumika kwa ajili ya kujenga kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya hapa nchini. kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani










Mara hii hakuna mavao ya kimasai ?
ReplyDelete