Muwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Asia Idarous Khamsin akiwa katika picha ya pamoja na mume wake Mzee Khamsin katika onyesho hilo lilinalofanyika usiku wa kiamkia leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mapato yaliyopatikana kwenye onyesho hilo yatatumika kwa ajili ya kujenga kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya hapa nchini. kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani

Mshehereshaji wa onyesho hilo akitoa ratiba ya onyesho hilo siku wa kuamkia leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.Picha na Full Shangwe Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mara hii hakuna mavao ya kimasai ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...