Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Umesahau kilio cha new castle kaka..

    ReplyDelete
  2. Vp wadau wa soka Man U leo kapendelewa au kashinda kiharali maana Web hakuwepo kati leo.

    ReplyDelete
  3. A.alaikum waungwana ndugu zangu nilikua naomba msaada wenu,mimi naitwa mohammed nilikua nawatafuta ndugu zangu tumepoteana miaka mingi mimi ni mzaliwa wa zanzibar lakini baba yangu alikua akifanya kazi katika jeshi la ffu kule manyoni singida alipata uhamisho wa kikazi kutoka zanzibar hadi manyoni singida hiyo ilikua ni miaka ya 80 -90.jina lake akiitwa samson p.kamaliza (yakhe) lakini nilivyosikia ameshatangulia mbele ya haki,sasa nilivyosikia anao watoto hapo manyoni mtoto wake mmoja kwa jina anaitwa salum abdi rashid,ndugu zangu wapendwa hiyo ndio story yenyewe nakuombeni munitafutie huyu ndugu yangu au ikiwezekana naomba nambari ya simu ya ffu (polisi)manyoni nitafurahi sana kuweza kuwajua ndugu zangu niliowapoteza miaka 40 ilopita.asanteni sana

    ReplyDelete
  4. we mohammed inawezekana akili yako haiko sawa na hutokaa umpate huyo ndugu yako kamwe,yaani kwenye ukurasa wa matokeo ya mechi za England ndo unakuja kumtafutia ndugu yako,hamnazo wewe

    ReplyDelete
  5. Kaka michuzi matokeo ya mechi za liver huwekagi kama hivi ndugu yangu, huo sio ushabiki weka kama siku zote

    ReplyDelete
  6. matokeo ya mechi za uingereza? kwa nini hukuwa ukiweka matokeo ya mechi za african cup toka group stage mpaka fainali inayochezwa leo?

    Tuthamini vyetu zaidi ndugu zanguni!!!

    ReplyDelete
  7. JAMANI KAKA MICHUZI PLEASE HATA MECHI ZA NYUMBANI TANZANIA UWE WATUWEKEA MATOKEO KAMA HIVI TUTAFURAHI SANA KWANI NAPENDA SANA KUJUA NYUMBANI LIGI KUU YAENDELEAJE?

    MAMA P

    ReplyDelete
  8. wewe anon Feb 12, 08:52:00 AM 2012 kwani wasanii wa bongo flava hawaimbi katika viwanja vya mpira?

    ReplyDelete
  9. Pale Suarez alivyokula kwanja la Ferdinand eneo la penalty na refa kumezea, nadhani kwa vile mhusika ni Suarez basi alikuwa sahihi!!!!! Au unaonaje? Kumbuka muda ule ngoma ilikuwa ni suluhu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...