Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha East Africa TV, Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akiwa na mai waifu wake Haika Samweli mara baada ya kuungana (kufunga ndoa) kuwa mwili mmoja katika hafla ya ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.
Allan Lucky Komba akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Best man wa Bw. Harusi,Banana Zorro na kulia ni Mai waifu wake Allan Lucky,Bi. Haika Samweli.
Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
Mdau Allan Lucky Komba na Mai waifu wake Haika Samweli wakipokea nondozz zao za ndoa toka kwa afisa wa Serikali.
Maharusi wakikata Cake.
Maharusi wakiwa hai tebo.
Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo.
Hongereni sana...Mungu awabariki
ReplyDeletehongera my broo Lucky,Mungu awabariki sana
ReplyDeleteMAHARUSI MMETOKELEZEAAA ;))
ReplyDeletehongereni sana,nawatakieni maisha mema,nice couples,bi haruc mashallah
ReplyDeletehongereni sana,nawatakieni maisha mema,nice couples,bi haruc mashallah
ReplyDeleteAlan your too young to marry kweli utavumilia au ndo???
ReplyDeletehongera Allan na mke wako. Kipindi chako kizuri naa wewe ni mbunifu. tunawatakia maisha mema
ReplyDeleteHongereni sana wapenzi mtaweza tuu kwani ndoa ni kuzidisha upendo tuu ndio silaha.
ReplyDelete