Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akipokea hundi yenye thamani ya sh. mil. 50,000,000/= kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam mwishoni mwa mwaka jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Idd kabla ya kupokea hundi ya Shilingi milioni hamsini (50,000,000/=) ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam mwishoni mwa mwaka jana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
dili nini hiyo mbona hapo juu umeandikwa mchongo pesa nyingi sana kama mchongo wa siku moja poa
ReplyDelete