Kutoka kulia ni Mtoto wa Balozi Mdogo nchini Uingereza anaitwa Maya, anaefuata ni Mwakilishi wa UNOPS Siera Leone Ndugu Omary Mjenga, anaefuata ni Mke wa Balozi Mdogo Uingereza, anaefuata ni Balozi mdogo wa Tanzania Nchini Uingereza Mh. Chabaka Kilumanga, na wa mwisho ni Aziz Msuya mtoto wa Balozi wetu Pretoria Afrika ya kusini. Ndugu Mjenga yuko Nchini Uingereza kuhudhuria moja Kikao ambacho kiko ndani ya majukumu yake ya kikazi.
Home
Unlabelled
MJENGA AKIWA NA FAMILIA YA BALOZI MDOGO WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA MH. CHABAKA KILUMANGA LEO JIONI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hi Maya!
ReplyDeletehaya kaka omar,mluhila,mla mayao wa box 2,ama kweli box 2 imekujenga,unakumbuka mambo ya TAMSALA enzi zile!!wapi MAPS,TUNYI nk,hakika tumetoka mbali!!go luhila,go box 2
ReplyDeleteHuyu ni balozi mdogo,au naibu balozi tunaomba tusaidiwe kiswahili hapa na magwiji.
ReplyDeleteKuna utata mwingi sana siku hizi.Mara makamo wa Rais,mara au makamu wa Rais.Sasa sijui tusemeje ili wanaojifunza kiswahili watuelewe!
Mwandishi akiandika akiwa Zanzibar anasema makmo,akiwa Bara anasema makamu,nimeona hata mdogo wangu Michuzi hivi hivi.Michuzi hivi pale Mbata tulijifunza hivyo kweli!
Balazi mdogo unamaana kuwa ni mtoto mdogo mwenye miaka kama 5 ,yaani akiwa mtu mzima atakuwa balozi.hebu tueleweshe vizuri.
ReplyDelete