Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijadili jambo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Lubuva ambaye alimtembelea Spika kwa lengo na kubadilishana nae mawazo Ofisini kwake Bungeni, mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijadili jambo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Lubuva (Katikati) wakati alipofika kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Hamid Mahamoud Hamid. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...